Kwenye tv zilikuwa chenga tuDaah seriously watu wamefurahi ...aisee na wakat wenzenu akaunti zimenona huko kwa game ya leo tu ...na kuonekana kwenye tv station kubwa duniani ya super sport ..hehehe
mngekua nyie mngepigwaa 12 kama ss tulivo toa professional players ndo tumefungwa Lakini nyinyi mngefungwa 7 kikosi chenu chote dakika za nyongeza wangewaongeza 5Mikia wasipokojozwa hamsa huwa hawaridhiki
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu wewe ni Yanga nini? Maana hao ndo wamefurahi sana Simba tulivyofungwa
Eti umesema??????????[emoji134][emoji134][emoji134][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]daah acheni hizo bwana mjue sisi sote ni watanzania lakini jana mashabiki wa yanga na nyie mlijikuta ni wahispania sema hata tungeshinda tusingewacheka maana mashabiki wa simba tuna roho nzuri sana ni vile hamtuelewi tuuu[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Najua hupendi hayo majina ila ni kwa Mkapa bana.Dah! Eti kwa mkapa! Jamani
Huwa ninasema Matola na Mexime wanamshinda mbinu za mpiraKocha wa simba hana uwezo ila kapata tu bahati timu inaongozwa vizuri na pesa ipo.
Haya.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nasemaje mashabiki wa simba tuna roho nzuri tungeshinda mbona tungekuwa wapole tu
yanga foreverDuh! Mpaka mechi ya kirafiki bado unainanga Simba? ππ We kweli Yanga lia lia πππ
Kwa sisi mikia bora tupigwe saba kuliko kiganja yaani hamjui tu jinsi tunavyoichukia namba 5mngekua nyie mngepigwaa 12 kama ss tulivo toa professional players ndo tumefungwa Lakini nyinyi mngefungwa 7 kikosi chenu chote dakika za nyongeza wangewaongeza 5
Weye mrembo khabari za siku tele?Eti umesema??????????[emoji134][emoji134][emoji134]
Salama kabisa, u mzima mpendwa?Weye mrembo khabari za siku tele?
Namshukuru mungu siku nyingi sana nalikuwa na mpango nifungue uzi huyu bibie yupo wapi? vyema umerejea karibu tenaSalama kabisa, u mzima mpendwa?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Namshukuru mungu siku nyingi sana nalikuwa na mpango nifungue uzi huyu bibie yupo wapi? vyema umerejea karibu tena
Ulijua kujificha ilaa kheir madhali umerejea teendeleze jahazi la jf[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nilikuwepo mbona? Sema nilikuwa natumia "espy".
[emoji1787][emoji1787]Ulijua kujificha ilaa kheir madhali umerejea teendeleze jahazi la jf
Nisalimie bestTena page zote ingekuwa maneno ya karaha tu. πππ
Ukiwaona nisalimie best. ππ
Nimezipata zote Mtani. Na yale ndio maisha ya soka. Huwezi sema kwamba angemalizia mpira Yanga wakati ipo sehemu ambapo anaeza pata kikubwa zaidi.Nisalimie best
Hivi tetesi kuhusu ajibu zimekufikia.
Hahaha Mimi napita tu wasalimie
Ma uncle zangu
Hivi umelala saa ngapi Mtani maana hii saa sita kwangu ni usiku sana.Nisalimie best
Hivi tetesi kuhusu ajibu zimekufikia.
Hahaha Mimi napita tu wasalimie
Ma uncle zangu