Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
😳😳😳Nije pm tuchekee[emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳😳😳Nije pm tuchekee[emoji23]
Nasikia ni vijana waliopo kwenye zile Academy zao[emoji23][emoji23]wangekuja wachezaji mngekoma (utani)Hata kikiwa Z watajijua wenyewe,
Tunawatandika kama mburukenge
Leo tu baada ya mechi kama watakuwa wameshinda... Hizo kelele zake
Sevilla wamepanga kikosi cha tatu,timu C!
Joke[emoji15][emoji15][emoji15]
Dada! Nkajua Shem kaja. 😂😂😂Ndg yangu mm nipo mpaka mwisho pamoja naingia kwa kubeep
HahhahahaHaha...hapo unaenda chooni na kurudi!!!
Yah! Tena ntaandika gazeti Mtani.
Na wamenasa vizuri, Tangu nilivyoona wanafurahia mauno nikajua kwisha habari yao.Ulikuwa mtego ule [emoji3][emoji3][emoji3]
Saafi.Joke
WoyooooooooKesho Heineken zinakuhusu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15][emoji15][emoji15]
Kwa mbalai mna haki ya kusema hivyo Mkuu.Simba imekuwa tamu kama mcharo!
Kila mechi kwetu ni fainali.Wakati wachezaji wa Sevilla wanacheza kujifurahisha wachezaji wa mikia wamekaza utafikiri wanagombea kombe la dunia!