Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 32,639
- 42,908
Burudani nzuri Sana! SafiDAKIKA YA 90,
.
.
SIMBA 4-4 SEVILLA
Nzi kavamia glass ya maziwa ya mfalme!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Burudani nzuri Sana! SafiDAKIKA YA 90,
.
.
SIMBA 4-4 SEVILLA
Nzi kavamia glass ya maziwa ya mfalme!
Hapana mkuu tiririka kwanza kuhusu hawa madereva bodaNAOMBENI NIFIKE NYUMBANI KWANZA[emoji23][emoji23][emoji23]mnaniruhusu!???? [emoji23][emoji23]
waje wapi tenaHaya sasa haters mliokua mnapiga domo njoeni kudadeki
SanaaHahahaha kipimo kizuri !! Kikosi Z kimeibuka na ushindi hope next time we will make it,good try Simba!!!
Alidhani kamaliza!! Akasahau mpira dk 90!!Huyu kocha Fala sana hata kama mechi ya kirafiki ndio anatoa wachezaji wote bora anaingiza upupu mtupu
vip FT ngap ngap sijacheki gameMapumziko simba 3 sevilla fc 1 habari ndio hiyo wazee wa Nguvu moja.
Haya nishaacha mana hawa Simba washaniuzi tayari.Jirani ebu niache bwana ww sio mtu mzuri kabisa