OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Hivi mkuu wakati unatuma hii comment nikweli prisons walikua wameshapata goli mana naona kama comment yako iliwahi sana kabla yagoli lenyeweKandanda linaendelea hapa Uwanja wa Uhuru
Dakika 34 Yanga 1- Prison 1
Waanze tu upya..HT Yanga 0- Prison 0
NilihaririIvi mkuu wakat unatuma hii comment nikweli prisons walikua wameshapata goli mana naona kama comment yako iliwahi sana kabla yagoli lenyewe
Ni moja ya timu ngumu Sana katika ligi mimi prison na mtibwa zinapo CHEZA na timu yangu huwa na jiandaa tuu kisaikolojiaPrison wako vizuri,itabidi tuingize full mkoko J2
Ngapi ngapi..?Kipindi cha pili kimeanza
Cha Malawi hicho...HT Yanga 0- Prison 0