Kutoka Uwanja wa Uhuru - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Yanga SC 2 - 1 Prison Tanzania

Kutoka Uwanja wa Uhuru - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Yanga SC 2 - 1 Prison Tanzania

Naona Yanga wana vitambaa vyeusi. Ni msiba wa legend Mengi au kuna kingine?
 
Naona Yanga wana vitambaa vyeusi. Ni msiba wa legend Mengi au kuna kingine?
 
Sawa, ngoja tuone atakaye chezesha timu ya Prison na Simba . Hasa Simba ikishinda
 
Wana yanga wamekua wanyonge sana. Maana wanajua wamebakiza mechi 4tu wakati simba ana mechi 10 mkononi hata akipoteza 5 akashinda 5 atakua bingwa kwa uwiano wa magoli uondio ukweli yanga wajipange mwakani.
 
Back
Top Bottom