Unakumbuka mlipofikia point 50 kwa kuvunja rekodi ya mechi zaidi kufika 50 points??mngeendelea na rate ileile ya kushinda leo mngekuwa wapi?unakumbuka wakati ambapo Simba hata akishinda viporo vyake vyote mnakuwa bado mmetupita point 5?kama mngelilinda gap lile leo mngekuwa mnalalama??Unajua Simba mwaka Jana alipoteza game 1 ligi nzima lakini sasa kashalambwa 2?Mnge concentrate na game zenu na matokeo yenu mngekuwa mbali tatizo mnageuka sana nyuma kumuangalia Simba yuko wapi na anafanya nini.Chukueni hili kama somo acheni ushabiki maandazi