Ulimakafu
JF-Expert Member
- Mar 18, 2011
- 31,248
- 13,244
Hasa mkiwa chumbani kunako nyumba ya wenyeji.Ndio shida ya kuangalia mpira na demu. Sorry wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hasa mkiwa chumbani kunako nyumba ya wenyeji.Ndio shida ya kuangalia mpira na demu. Sorry wakuu
Aibu ya dunia kwao na Tifutifu.Mbeleko fc hakuna ligi ya hivyo duniani viporo kufika 10
Zana mchumba sana huyo.Huyu Makambo akimiminiwa Krosi na Zana anaweza kufunga magoli kama Yote
Hizo ni hisia zenu tu Yanga... hv zile point 5 juu zilipoteaje?Hahaha unataka nizitaje? Na mazingira yalivyoandaliwa,halafu mipango waliianza walivyotolewa na mashujaa.
Waliona kabisa kuna uwezekano msimu ujao wasishiriki michuano yoyote ya kimataifa
Walikuwa wanasema hata Simba ashinde zote bado wao watakuwa juu... sasa hv wanaimba vingine.Unakumbuka mlipofikia point 50 kwa kuvunja rekodi ya mechi zaidi kufika 50 points??mngeendelea na rate ileile ya kushinda leo mngekuwa wapi?unakumbuka wakati ambapo Simba hata akishinda viporo vyake vyote mnakuwa bado mmetupita point 5?kama mngelilinda gap lile leo mngekuwa mnalalama??Unajua Simba mwaka Jana alipoteza game 1 ligi nzima lakini sasa kashalambwa 2?Mnge concentrate na game zenu na matokeo yenu mngekuwa mbali tatizo mnageuka sana nyuma kumuangalia Simba yuko wapi na anafanya nini.Chukueni hili kama somo acheni ushabiki maandazi
Hizi kwaya mlizificha kwenye magoli ya mkono ya Tambwe msimu juzi.. Yenu yananukia yetu yananuka.Unajua kua Makambo peke yake anagolingapi ambazo zilikataliwa ambazo baada ya marejeo ya video hazikua ofside? Na unajua kwa goli izo peke yake achana na lile la Tambwe mechi na Mtibwa limeinyma Yanga Point Ngapi? Kama Yanga ataukosa ubingwa msimu huu ujue Baadhi ya Marefa wameshiriki Ku upora ubingwa wa Yanga.
wewe nahakika uwezi kabisa hesabu ebu simba ajaribu kupoteza mechi 5 alaf yanga ashinde zote 4 alafu uone kama simba atapata ubingwa?Wana yanga wamekua wanyonge sana. Maana wanajua wamebakiza mechi 4tu wakati simba ana mechi 10 mkononi hata akipoteza 5 akashinda 5 atakua bingwa kwa uwiano wa magoli uondio ukweli yanga wajipange mwakani.
Itakuwa ni maombolezo msiba wa Mzee Mengi ,alikuwa mdau wa Yanga. Kipindi kile alileta mawazo ya kampuni enzi za tarimba abbas pengine Yanga sasahivi ingekuwa kama tp mazembe au mamelodi sundowns wasiopenda maendeleo na wavivu wa akili na miili wakapingaNaona Yanga wana vitambaa vyeusi. Ni msiba wa legend Mengi au kuna kingine?
Nywele kama Amber RutZana mchumba sana huyo.
Kwahiyo viko sita na sio kumi right?10 maana yake atamaliza ligi kabla ya Yanga... viporo ni 6 ili awe sawa na mwenzie.
Viko vingapi?Vilifika11
Katika Soka hakunaga hesabu hizo,tukianza hesabu hizo haponi MTU,Tuanze na Goli LA Donald Ngoma dhidi ya Yanga,futa point 2,goli LA okwi first leg na Yanga,futa point ya Yanga ongeza Simba 2,Leo beki wenu wa Mwisho kamchezea rafu MTU wa Mwisho,MPE kadi nyekundu na mngekuwa pungufu msingefuka bao LA pili,futa point zenu ibaki moja.Tukienda hivi dunia ya Soka itakuwa ni uchizi.Nakushauri japo unaongoza ligi lakini hesabu zimekukataa tayari.Jipange msimu ujao ushike nafasi ya pili uende kimataifa kwa mbeleko ya Asante Simba.Haya kunywa maji mjombaUnajua kua Makambo peke yake anagolingapi ambazo zilikataliwa ambazo baada ya marejeo ya video hazikua ofside? Na unajua kwa goli izo peke yake achana na lile la Tambwe mechi na Mtibwa limeinyma Yanga Point Ngapi? Kama Yanga ataukosa ubingwa msimu huu ujue Baadhi ya Marefa wameshiriki Ku upora ubingwa wa Yanga.
YANGA ana game 34Kwahiyo viko sita na sio kumi right?
R.IP R.MENGIItakuwa ni maombolezo msiba wa Mzee Mengi ,alikuwa mdau wa Yanga. Kipindi kile alileta mawazo ya kampuni enzi za tarimba abbas pengine Yanga sasahivi ingekuwa kama tp mazembe au mamelodi sundowns wasiopenda maendeleo na wavivu wa akili na miili wakapinga
Kwani ligi iwe fair kivipi wkt anaongoza ligi kuu au wengine watacheza mechi nyingi kuliko yeye??Lig ingekua fair...yanga angekua bingwa msimu huu
Ha haaa haaaaa.Nywele kama Amber Rut
Au pengine mechi za viporo ukishinda unapewa point 5 sio 3.Nisaidie kumuuliza mkuuKwani ligi iwe fair kivipi wkt anaongoza ligi kuu au wengine watacheza mechi nyingi kuliko yeye??
Yanga tunaongoza ligi kwa nini tusiwe mabingwa!haaaaa haaaaa tunapiga back to back 10,mkileta ujinga tunaongeza tanoLig ingekua fair...yanga angekua bingwa msimu huu