Kutoka Uwanja wa Uhuru - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Yanga SC 2 - 1 Prison Tanzania

Kutoka Uwanja wa Uhuru - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Yanga SC 2 - 1 Prison Tanzania

Hahaha unataka nizitaje? Na mazingira yalivyoandaliwa,halafu mipango waliianza walivyotolewa na mashujaa.
Waliona kabisa kuna uwezekano msimu ujao wasishiriki michuano yoyote ya kimataifa
Hizo ni hisia zenu tu Yanga... hv zile point 5 juu zilipoteaje?
 
Unakumbuka mlipofikia point 50 kwa kuvunja rekodi ya mechi zaidi kufika 50 points??mngeendelea na rate ileile ya kushinda leo mngekuwa wapi?unakumbuka wakati ambapo Simba hata akishinda viporo vyake vyote mnakuwa bado mmetupita point 5?kama mngelilinda gap lile leo mngekuwa mnalalama??Unajua Simba mwaka Jana alipoteza game 1 ligi nzima lakini sasa kashalambwa 2?Mnge concentrate na game zenu na matokeo yenu mngekuwa mbali tatizo mnageuka sana nyuma kumuangalia Simba yuko wapi na anafanya nini.Chukueni hili kama somo acheni ushabiki maandazi
Walikuwa wanasema hata Simba ashinde zote bado wao watakuwa juu... sasa hv wanaimba vingine.
Hawa jamaa uduvi kweli.
 
Unajua kua Makambo peke yake anagolingapi ambazo zilikataliwa ambazo baada ya marejeo ya video hazikua ofside? Na unajua kwa goli izo peke yake achana na lile la Tambwe mechi na Mtibwa limeinyma Yanga Point Ngapi? Kama Yanga ataukosa ubingwa msimu huu ujue Baadhi ya Marefa wameshiriki Ku upora ubingwa wa Yanga.
Hizi kwaya mlizificha kwenye magoli ya mkono ya Tambwe msimu juzi.. Yenu yananukia yetu yananuka.
Malinzi fc tulieni kama mnachimwa.
 
Wana yanga wamekua wanyonge sana. Maana wanajua wamebakiza mechi 4tu wakati simba ana mechi 10 mkononi hata akipoteza 5 akashinda 5 atakua bingwa kwa uwiano wa magoli uondio ukweli yanga wajipange mwakani.
wewe nahakika uwezi kabisa hesabu ebu simba ajaribu kupoteza mechi 5 alaf yanga ashinde zote 4 alafu uone kama simba atapata ubingwa?
 
Naona Yanga wana vitambaa vyeusi. Ni msiba wa legend Mengi au kuna kingine?
Itakuwa ni maombolezo msiba wa Mzee Mengi ,alikuwa mdau wa Yanga. Kipindi kile alileta mawazo ya kampuni enzi za tarimba abbas pengine Yanga sasahivi ingekuwa kama tp mazembe au mamelodi sundowns wasiopenda maendeleo na wavivu wa akili na miili wakapinga
 
Unajua kua Makambo peke yake anagolingapi ambazo zilikataliwa ambazo baada ya marejeo ya video hazikua ofside? Na unajua kwa goli izo peke yake achana na lile la Tambwe mechi na Mtibwa limeinyma Yanga Point Ngapi? Kama Yanga ataukosa ubingwa msimu huu ujue Baadhi ya Marefa wameshiriki Ku upora ubingwa wa Yanga.
Katika Soka hakunaga hesabu hizo,tukianza hesabu hizo haponi MTU,Tuanze na Goli LA Donald Ngoma dhidi ya Yanga,futa point 2,goli LA okwi first leg na Yanga,futa point ya Yanga ongeza Simba 2,Leo beki wenu wa Mwisho kamchezea rafu MTU wa Mwisho,MPE kadi nyekundu na mngekuwa pungufu msingefuka bao LA pili,futa point zenu ibaki moja.Tukienda hivi dunia ya Soka itakuwa ni uchizi.Nakushauri japo unaongoza ligi lakini hesabu zimekukataa tayari.Jipange msimu ujao ushike nafasi ya pili uende kimataifa kwa mbeleko ya Asante Simba.Haya kunywa maji mjomba
 
Itakuwa ni maombolezo msiba wa Mzee Mengi ,alikuwa mdau wa Yanga. Kipindi kile alileta mawazo ya kampuni enzi za tarimba abbas pengine Yanga sasahivi ingekuwa kama tp mazembe au mamelodi sundowns wasiopenda maendeleo na wavivu wa akili na miili wakapinga
R.IP R.MENGI
 
Back
Top Bottom