Kutoka Uwanja wa Uhuru - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Yanga SC 2 - 1 Prison Tanzania

Kutoka Uwanja wa Uhuru - Dar | Mchezo wa Ligi Kuu Bara: Yanga SC 2 - 1 Prison Tanzania

Wana yanga wamekua wanyonge sana. Maana wanajua wamebakiza mechi 4tu wakati simba ana mechi 10 mkononi hata akipoteza 5 akashinda 5 atakua bingwa kwa uwiano wa magoli uondio ukweli yanga wajipange mwakani.
Mbeleko fc hakuna ligi ya hivyo duniani viporo kufika 10
 
Yanga kabakisha mechi na wapinzani gani ukimtoa Biashara?
 
Mbeleko fc hakuna ligi ya hivyo duniani viporo kufika 10
Jibu na hili swali, Ni ligi gani duniani ambayo timu inaweza kucheza mechi 8 kama mwenyeji mfululizo tukiondoa mbili alizocheza na KMC na SIMBA MNYAMA
 
Lig ingekua fair...yanga angekua bingwa msimu huu
Unamaanisha hata Beki wa Mwisho wa Yanga akicheza rafu kwa mshambuliaji asipewe kadi nyekundu kwa mujibu wa sheria?au unamaanisha Simba asiongezewe dakika za nyongeza??
 
Simba kashapata jumla ya point 16 za dhuluma....hembu zitoe kwenye points zake
Unakumbuka mlipofikia point 50 kwa kuvunja rekodi ya mechi zaidi kufika 50 points??mngeendelea na rate ileile ya kushinda leo mngekuwa wapi?unakumbuka wakati ambapo Simba hata akishinda viporo vyake vyote mnakuwa bado mmetupita point 5?kama mngelilinda gap lile leo mngekuwa mnalalama??Unajua Simba mwaka Jana alipoteza game 1 ligi nzima lakini sasa kashalambwa 2?Mnge concentrate na game zenu na matokeo yenu mngekuwa mbali tatizo mnageuka sana nyuma kumuangalia Simba yuko wapi na anafanya nini.Chukueni hili kama somo acheni ushabiki maandazi
 
Hivi na Mimi nikikuambia hivihivi kiboyaboya tu kuwa Yanga kashapata jumla ya point 16 za dhuluma....hembu zitoe kwenye points zake Utaniambia nini???
Hahaha unataka nizitaje? Na mazingira yalivyoandaliwa,halafu mipango waliianza walivyotolewa na mashujaa.

Waliona kabisa kuna uwezekano msimu ujao wasishiriki michuano yoyote ya kimataifa
 
Unakumbuka mlipofikia point 50 kwa kuvunja rekodi ya mechi zaidi kufika 50 points??mngeendelea na rate ileile ya kushinda leo mngekuwa wapi?unakumbuka wakati ambapo Simba hata akishinda viporo vyake vyote mnakuwa bado mmetupita point 5?kama mngelilinda gap lile leo mngekuwa mnalalama??Unajua Simba mwaka Jana alipoteza game 1 ligi nzima lakini sasa kashalambwa 2?Mnge concentrate na game zenu na matokeo yenu mngekuwa mbali tatizo mnageuka sana nyuma kumuangalia Simba yuko wapi na anafanya nini.Chukueni hili kama somo acheni ushabiki maandazi
Unajua kua Makambo peke yake anagolingapi ambazo zilikataliwa ambazo baada ya marejeo ya video hazikua ofside? Na unajua kwa goli izo peke yake achana na lile la Tambwe mechi na Mtibwa limeinyma Yanga Point Ngapi? Kama Yanga ataukosa ubingwa msimu huu ujue Baadhi ya Marefa wameshiriki Ku upora ubingwa wa Yanga.
 
Back
Top Bottom