BABAAKUBWA
Senior Member
- Oct 26, 2013
- 120
- 27
Ubora wake uko wapi? Acha chuki zako binafsi wewe.
huyu jamaa mweupe hana sera kabisa.
Sitaki uchokozi wako....unajua fika kura yangu iko wapi.
Membe, wewe ni msomi wa kiwango cha juu unaposema umeongea na Mwalimu Nyerere kwenye kaburi lake kuhusu wewe kugombea urais umemishangaza sana.
Mwalimu Nyerere ni marehemu sasa hivi sasa unaposema umeongea na marehemu sijakuelewa ujue.
Halafu Nyerere na Mungu hawawezi kujadiliana kuhusu wewe daahh!!!.
Haya tuendelee kukusikiliza.
Sasa Membe kulikuwa na haja gani kuwapiga mkwara wanaume na familia zao eti watakukoma.
Amekuwa Mwanausalama: ameshindwa kumsaidia Rais kupambana na Rushwa ... anajaribu kupiga vijembe mahasimu wake ... Maneno mengi vitendo bure ..
Duuh....huyu mtu nilikuwa namuona bungeni najifariji atakuwa bingwa wa debate kumbe mweupe hivi:what::what:hivi hakujipanga?