Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

MEMBE familia imemshinda anawezaje kuwa rais? bint yake kakimbilia Zanzibar mbona?charity begins at home
 
Wala rushwa ni wachache msiogope " akiiba anasema amechukua riziki yake.
 
Ccm wale wale,sera zile zile,wizi ule ule ,watu wale wale,nyimbo zile zile,mipasho ile ile ,huyu Membe anasema atatuletea serikali nzuri ipi?
 
Eti anasema serikali yake itakuwa kama ya Kikwete.........
 
huyu jamaa mweupe hana sera kabisa.
 
Kweli nimependa demokrasia ndani ya CCM kila mgombea tumsikilize na tuone uwezo wake.
 
Napata wasiwasi na ombi lako maana hujapata unapendelea kwenu ukipata je sisi wengine utatutenga Lindi Lindi na wewe
 
Membe ni mwongo kuliko watia nia wengine wote wa ccm, huwa hatulii anakurupuka kwa kukanusha, SIKWELI. Ukweli ukibainika anaingia mitini.

Hata Kikwete wkt wa hotuba zake za kutia nia zilikuwa na mashiko
 
Membe vipi huyu anatuambia tumchague,kwani CCM imeshampitisha,kuna kitu hapa sio bure
 
Membe: tatizo la wala rushwa ni waongo, akipendwa na watu 6 anasema laki 6, akiiba pesa anasema nimepewa na marafiki, anakodi ndege anasema wamenikodia wahisani....ya mwisho nimeongeza kwi! Kwi! Kwi!
 
Back
Top Bottom