Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Atawawezesha wanawake kukaa bila waume zao du bonge la rais
 
Jamaa anasema eti mtoa Rushwa na mpokea Rushwa .... atabadili hicho kipengele! anadai kuwa atapambana na Mpokea Rushwa!!!! Kumbe ndo maana James Rugemalira ameachwa na wengine wamepelekwa Mahakamani ...
 
Hatosubiri kumpeleka mahakamani mla rushwa hata kama ni kiongozi mkubwa.
 
Na mchango wa hiyo kazi yake ni nini? kwa maendeleo ya taifa?

Huyu hotuba yake ni dry tu hakuna originality yoyote. He is bent on maintaining status quo. Haoneshi kama ni mtu anayeweza kubadiri chochote! Ni mipasho 100%
 
asema atawafunga wala rushwa hata kama hawatakuwa wamepatikana na hatia...kajiandaa kuvuruga utawala wa sheria na kuvunja katiba
 
Eti watoa rushwa wataachiwa huru... ha ha ha
 
Kama huyu Membe angekuwa na ufahamu sahihi, asingekubali kurusha live hiki kipindi. Ni bora angeongea na watu wa lindi kimya kimya maana wahenga walisema "Ukimya nihekima ya mpumbavu"

Sasa huyu .............

Naomba nikiri kwamba nilikuwa na mategemeo makubwa kutoka kwa huyu mheshimiwa, lakini hii hotuba imepwaya sana
 
Hahaha. Membe hana akili Yaani hata kama hana ushahidi wa rushwa ya mtumishi atamfukuza kazi
 
membe anavuta bhangi?!!mbona anaongea kama ameshtua aisee....

eti akiwa rahisi ataanzisha benki za wanawake ili wapate mikopo yakuendesha mambo yao,na wawe na pesa ili wakiachana na wame zao wasipate shida!! akili gani hii???
 
Mbona unapigwa wimbo wa marehemu Komba wakati yeye alikuwa #Team Lowasa?
 
Yani huyu jamaa ni bogus kabisa.. Sijui kama ata anaelewa mambo ya makosa ya rushwa.
 
"Nikiwa Raisi nitabadilisha kipengele cha mtoa rushwa na mpokea rushwa kuwa wote ni wahalifu na badala yake itakuwa Mtoa Rushwa ataachiliwa huru na mpokea rushwa atakwenda jela"

by Membe.
 
Membe anawaponda walima mihogo, anasema waliochoka kuendesha serikali wakalime mihogo.
 
"nitahakikisha natoa mikopo kwa akina mama ili waachike na kuijitegemea" (membe, 2015-06-07, 13:14).

Membe ametumwa na nani?
 
Back
Top Bottom