Mulangila Mukuru
JF-Expert Member
- Feb 24, 2010
- 1,945
- 728
Napata mashaka juu ya ufahamu wa watangaza nia wa CCM kama wanajua tofauti ya kutangaza nia na kupiga kampeni,wengi wao wanaongea lugha ya kikampeni kama vile tayari wameshapewa jukumu la kupeperusha bendera ya CCM katika uchaguzi ujao.