Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Membe, wewe ni msomi wa kiwango cha juu unaposema umeongea na Mwalimu Nyerere kwenye kaburi lake kuhusu wewe kugombea urais umemishangaza sana.

Mwalimu Nyerere ni marehemu sasa hivi sasa unaposema umeongea na marehemu sijakuelewa ujue.

Halafu Nyerere na Mungu hawawezi kujadiliana kuhusu wewe daahh!!!.

Haya tuendelee kukusikiliza.
 
Anaringia taaluma yake ya usalama wa taifa...kwakweli magereza yatajaa.
 
Ndio maana tunasema nchi yetu inatisha kwa ushirikina kwa sababu viongozi
aina ya akina membe wapo mstari wa mbele kuendekeza ushirikina ,afu anaonekana ni mkabira na mkanda sana
 
Membe kumbe hamna kitu yani kazidiwa hata na mwigulu nchembe...yani anaiongelea lindi utadhani anataka ubunge

Amesahau kama cheo anachokiomba ni cha taifa anajua Lindi ndo Tanzania
 
Membe, wewe ni msomi wa kiwango cha juu unaposema umeongea na Mwalimu Nyerere kwenye kaburi lake kuhusu wewe kugombea urais umemishangaza sana.

Mwalimu Nyerere ni marehemu sasa hivi sasa unaposema umeongea na marehemu sijakuelewa ujue.

Halafu Nyerere na Mungu hawawezi kujadiliana kuhusu wewe daahh!!!.

Haya tuendelee kukusikiliza.

Kwa kweli Membe ni dhaifu kama JK
 
Wanasiasa wanajua kucheza na maneno! Kama hufikiri na kukumbuka tulipotoka utaliwa...
 
Membe ni takataka ambayo huwezi hata ku recycle yaaan hafai hafai hafai... hata kuwa rais wa chama cha wapiga debe. hana hoja kiukweli anajaribu kujifichia kwnye Sura za Marais waliopita. huyu jamaa ni wa hovyo kiukweli afadhar hata na mwigulu. huyu ni janga zaidi ya el nino.... tena huyu akichukua nchi wapinzani wake weng watakufa sana, halaf ni mswahil swahili sana huyu jamaa.... hana hata dini ingawa watu wanasema ni Mkristo wa RC but namwona ni mtu asiye na dini at all.
 
Kweli hafai kulinda viongozi waliopita hata kama walifanya vibaya hafai
 
Kama kawaida umeme umakatika. Nahisi harufu ya kufanyiziana. Siyo bure!
 
Back
Top Bottom