Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Huu ni ujumbe kwa UKAWA waki hatarisha muungano watashughulikiwa!
 
Amewataja marais waliomtangulia,maana yake ameshakua rais, membe ana mambo kweli,eti nawataja marais walionitangulia

Hahahahahaa huyu mtu ni kiboko!
Huwezi jua labda ameshahakikishiwa hilo.
 
Ndio maana tunasema nchi yetu inatisha kwa ushirikina kwa sababu viongozi
aina ya akina membe wapo mstari wa mbele kuendekeza ushirikina ,afu anaonekana ni mkabira na mkanda sana

Kichwani ni empty hana ubongo imebaki fuvu
 
Hakika UKAWA wanayo kazi yani wanapigwa kutoka kila mkoa leo watapigwa kutoka Lindi na baadae watapigwa kutoka Dar....! Bavicha hawana jinsi inabidi wacheze ngoma ya CCM maana sasa wameamini Rais wa nchi hii lazima atoke CCM!

Nina wasiwasi na uelewa wako katika mambo haya ya kutia nia!
 
Membe, wewe ni msomi wa kiwango cha juu unaposema umeongea na Mwalimu Nyerere kwenye kaburi lake kuhusu wewe kugombea urais umemishangaza sana.

Mwalimu Nyerere ni marehemu sasa hivi sasa unaposema umeongea na marehemu sijakuelewa ujue.

Halafu Nyerere na Mungu hawawezi kujadiliana kuhusu wewe daahh!!!.

Haya tuendelee kukusikiliza.

Ndio aina ya watu waliojaa huko
 
Hakika UKAWA wanayo kazi yani wanapigwa kutoka kila mkoa leo watapigwa kutoka Lindi na baadae watapigwa kutoka Dar....! Bavicha hawana jinsi inabidi wacheze ngoma ya CCM maana sasa wameamini Rais wa nchi hii lazima atoke CCM!

Kumbe Membe anapambana na UKAWA NA BAVICHA mbona hatari sana.
 
Ndio maana tunasema nchi yetu inatisha kwa ushirikina kwa sababu viongozi
aina ya akina membe wapo mstari wa mbele kuendekeza ushirikina ,afu anaonekana ni mkabira na mkanda sana
Umeona ehhh kaongea sana u LINDI,mara LINDI tutatoa Raisi
 
Miaka 10 ya Benjamin William Mkapa aliemsaliti JK Nyerere haijawatoka Watanzania kwani mikataba yote ya Madini; Mwadui, Buzwagi, Bulliang'ulu, North Mara, Net Group Solution, EPA, NBC nk ... Membe nae anasema eti ameenda kutambika kwenye KABURI la BABA wa TAIFA ... Kwani Kusini tu ndo watawala? Hatutaki tena matambiko ya Mv Bukoba ... Kusini Membe .. Big NO!!!!
 
Membe nadhani hamna mtu anayetaka kuvunja muungano waeleze watanzania utauboresha vipi muungano wetu Tanganyika itarudi?
 
Tatizo lenu wengi hamjui siasa. Hilo ndilo linalo wasumbua. Hivi unadhani hapo anaomba kura za Watanzania? Mwenzako hapo anataka chama kimpe ridhaa tu. Sasa ukijipeleka peleka bila kuwataja viongozi wa chama hiyo ridhaa utaipata wapi!?!

Membe kichwa wewe...usimuone mjinga.
You're right... watu wanachanganya mambo kweli kweli... wanadhani pale ni sehemu ya kutangaza sera kumbe ni kutangaza nia... hawafahamu ni mbwembwe tu zilizoibuka hivi karibuni lakini kwa kawaida, hata haya mambo ya kurusha LIVE wala sio lazima lakini bado kuna watu wanatega masikio kusikiliza sera sasa sijui ni sera za kumwahidi nani wakati wanachofanya ni kutafuta ridhaa ndani ya chama ambapo!!! Tusichojua ni kwamba, pale utangaze sera au usitangaze, haimaanishi chochote kwa kuwa sio pahala pake!
 
hivi Membe muungano anaulewa kuwa ni jambo la malidhiano/hiari,sasa hizi lugha za kidkteta kama zanzibar ni koloni letu zinatoka wapi.
 
Sifa kubwa ya Membe ni ya kutumika na Kikwete kujaribu kuleta mahakama ya kadhi, na kufeli. JK alimtuma pia Mwanza kwenda kuzungumza na maaskofu na akafeli pia. Akipata Urais Membe basi ataendelea kutumiwa na JK, kwa manufaa ya JK na washirika wake tu.

Membe, I submit, is not presidential material.
 
Hakika UKAWA wanayo kazi yani wanapigwa kutoka kila mkoa leo watapigwa kutoka Lindi na baadae watapigwa kutoka Dar....! Bavicha hawana jinsi inabidi wacheze ngoma ya CCM maana sasa wameamini Rais wa nchi hii lazima atoke CCM!

Wewe kweli unashobolwa, yaani kutangaza nia ambayo hana uhakika kama atapitishwa na chama, tayari imekuwa ni pigo kwa ukawa?
 
Ndio maana tunasema nchi yetu inatisha kwa ushirikina kwa sababu viongozi
aina ya akina membe wapo mstari wa mbele kuendekeza ushirikina ,afu anaonekana ni mkabira na mkanda sana

Ndo mana albino wanapata shida. Yani wanafanya matambiko hadharani ndo mana miaka zaidi ya 50 no progress ka taifa.
 
quote_icon.png
By Ritz Membe, wewe ni msomi wa kiwango cha juu unaposema umeongea na Mwalimu Nyerere kwenye kaburi lake kuhusu wewe kugombea urais umemishangaza sana.

Mwalimu Nyerere ni marehemu sasa hivi sasa unaposema umeongea na marehemu sijakuelewa ujue.

Halafu Nyerere na Mungu hawawezi kujadiliana kuhusu wewe daahh!!!.

Haya tuendelee kukusikiliza.[/QUOTE

Ushirikina!
 
Back
Top Bottom