Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwambie boss wako hafai tena hafai,eti hatakubali ma Raisi waliopita waguswe,hata kama walifanya ufisadi yeye atawalinda tuNaona wazungu wapo bize kumpiga Membe picha tu. Sijui kama babu Slaa atapata heshima hiyo.
Unataka kuona Lozari za mbao misalaba subiri Padre Slaa akienda kuchukuwa fomu ya urais.
Hivi Watanzania mnajua kuwa Membe amekuwa shushushu kwa miaka zaidi ya 20? Tangu enzi za mwalimu Nyerere.
Bado sielewi kwa nini Membe na Lowassa wamekuwa gumzo ccm ilihali wote weupe tu. Mmoja mwizi mwingine mnafki.
Hapa naona nguo tu...huyu jamaa wala hafai kuwa rais wa TFF
Hivi kweli UKAWA watawezea wapi kuchukua jimbo la Mtama? Mnapenda sana kudanganywa na kupewa moyo. Membe anachana LIVE.
Kweli Membe hujui kujenga hoja kabisa wenzako wamekufunika vibaya mno. Tangu uanze hujaongea Sera ya maana. Jinadi acha kuwasifia Jk na Mkapa.