Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

FB_IMG_1433648109469.jpg

Membe na Nyerere wana historia ndefu sana. Hivyo ni muhimu kwake kutafuta busara za baba wa taifa pamoja na kwamba ni hayati sasa.
 
Mheshimiwa anajigamba sana, hii inatia wasiwasi juu ya uwezo wake. Nakwamba atalinda maslahi ya viongozi waliopita hata kama walifanya makosa??!
 
Naona wazungu wapo bize kumpiga Membe picha tu. Sijui kama babu Slaa atapata heshima hiyo.
Mwambie boss wako hafai tena hafai,eti hatakubali ma Raisi waliopita waguswe,hata kama walifanya ufisadi yeye atawalinda tu
 
Hivi Watanzania mnajua kuwa Membe amekuwa shushushu kwa miaka zaidi ya 20? Tangu enzi za mwalimu Nyerere.

Na pia lengo lake nikuwalinda maraisi waliotangulia! Hahaha!kazi kweli
 
Kuhonga ni jadi ya hicho chama cha mbogamboga,yeye hajatumia fedha hapo?sioni mlango wa ccm kutoka mwaka huu
 
Membe waeleze watu wa Lindi kuhusu zao la Korosho. Wakulima wanauza kilo moja sh. 500, Dar es Salaam 100 gm sh 4000
 
Membe hamna kitu,anajipanga kuwalinda viongoz walopita et hawataguswa...
 
Amewataja marais waliomtangulia,maana yake ameshakua rais, membe ana mambo kweli,eti nawataja marais walionitangulia
 
Bado sielewi kwa nini Membe na Lowassa wamekuwa gumzo ccm ilihali wote weupe tu. Mmoja mwizi mwingine mnafki.

Membe ni empty Sana kichwani,nishamwona kwenye vikao mbalimbali jamaa ni empty,alialikwa Kama mgeni rasmi mahali halafu anawauliza watu cha kuongea maneno yalimwisha,hawa watu wanabebwa tu na system
 
Membe kumbe hamna kitu yani kazidiwa hata na mwigulu nchembe...yani anaiongelea lindi utadhani anataka ubunge
 
Nani ana-run Twitter account ya Membe?? Maana yeye anaongea ila account yake pia inafanyiwa updates!
ImageUploadedByJamiiForums1433671163.163265.jpg
 
Hivi kweli UKAWA watawezea wapi kuchukua jimbo la Mtama? Mnapenda sana kudanganywa na kupewa moyo. Membe anachana LIVE.

Teh Teh Jimbo la Mtwara mjini bado hadi sasa wana gombana na CUF!
 
Ndio maana tunasema nchi yetu inatisha kwa ushirikina kwa sababu viongozi sins ya kina membe wapo mstari wa mbele kuendekeza ushirikina ,afu anaonekana ani mkabira na mkanda sana
 
Kweli Membe hujui kujenga hoja kabisa wenzako wamekufunika vibaya mno. Tangu uanze hujaongea Sera ya maana. Jinadi acha kuwasifia Jk na Mkapa.

Tatizo lenu wengi hamjui siasa. Hilo ndilo linalo wasumbua. Hivi unadhani hapo anaomba kura za Watanzania? Mwenzako hapo anataka chama kimpe ridhaa tu. Sasa ukijipeleka peleka bila kuwataja viongozi wa chama hiyo ridhaa utaipata wapi!?!

Membe kichwa wewe...usimuone mjinga.
 
alishiriki kuipeleka gesi dar halafu eti anasema leo wana mtwara na lindi atafaidika...halafu anaongea kama anataka ubunge wa lindi na mtwara...haongei mambo ya kitaifa
 
Back
Top Bottom