Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

Uchaguzi 2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

kwa hili mtangaza nia hana taarifa. hivi hafahamu kwa sasa karibu kila wilaya inachuo cha ufundi. labda kama ni wilaya mpya.
 
Membe anaongea mpaka koo linakauka na kukohoa mpaka anapewa maji kupoza koo
 
Ccm inaonekana watampitisha membe amefanana sana na Jk hata kuongea
 
hata fuvu lina ufa.....anahamasisha kuvunja ndoa...anataka akina mama wavunje ndoa yeye atawapa hela....awaambia akina baba wasinywe pombe....amewataka wakome...kweli hili ni box tupu

Huyu jamaa nilishamwona kwenye mialiko mbalimbali hata kuongea na watu 20 yuko empty sana
 
Ila bora huyu kuliko yule aliyekuwa anasoma notes pale Arusha
 
Membe ni mwongo kuliko watia nia wengine wote wa ccm, huwa hatulii anakurupuka kwa kukanusha, SIKWELI. Ukweli ukibainika anaingia mitini.
 
huyu ni waziri wa mambo ya nje? jamani ndio maana jk kayumba sana kwenye utawala wake
 
Amekuwa Mwanausalama: ameshindwa kumsaidia Rais kupambana na Rushwa ... anajaribu kupiga vijembe mahasimu wake ... Maneno mengi vitendo bure ..
 
Membe anachekesha kweli leo anawapamba waandishi wa habari kuhusu kupambana na rushwa, anasahau serikali hii hii imepitisha miswada haramu ya takwimu na mitandao..Tusiwe wasahaulifu hivyo..
 
Back
Top Bottom