Steph Curry
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 5,936
- 4,707
Amelewa kabisa hajitambui hata anaongea nini?
Aisee Membe katisha sanaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Amelewa kabisa hajitambui hata anaongea nini?
Naona wazungu wapo bize kumpiga Membe picha tu. Sijui kama babu Slaa atapata heshima hiyo.
Na vilevi ndo vinatozwa kodi kubwa.
Membe amewapiga za uso UKAWA! Dah...sijawahi kuona!!!
Sitaki uchokozi wako....unajua fika kura yangu iko wapi.
Mtu wao yupi? Mkuu lini Ukawa tutawajadili wagombea wake au yupo mmoja tu Dr.Slaa ukimpinga unafukuzwa kama Panya.demokrasia au kiini macho?? Maana wenye chama tayari wana mtu wao
Hapo sasa, kodi itatoka wapi? Japo sio jambo jema lakini.
Mpaka sasa hakuna sera yoyote ya maana zaidi ya historia na majigambo!
Kazi kwelikweli.