Kutokana na hamahama hii, Mbowe azomewe?

Mngeanza kulizomea kwanza ling'ombe lenu
 
Mbona umekomaa na Mbowe sana,Chama ikianguka si ndo raha yako,huu Mziki tulishauchoka sana.
Mbowe si mwenyekiti wa milele mnasema...mmezika demokrasia ndani ya chama..walahi hakuna kitakachowazuia kuzika demokrasia kwa nchi kama mkichukua serikali.nyinyi ni wa kuogopwa kama ukoma
 
Mbowe .... kasabashia mdololo wa uchumia akiachia unyekiti then uchumi utapaa kama wa marekani na Tsh itakuwa ndo Us dollar sababu yeye ndo anazuia uchumi wetu kupaa na hela yetu kuwa madafu kaongeze deni lataifa 40% Tangu kawa mwenyekiti Kazuia uchumi wa kati na Viwanda kama Canada
 
Una bidii sana tatizo hujajua pa kuelekeza juhudi zako. Kuna mambo mengi yalokwama huko kwenu kama; makinikia, korosho peleka bidii hiyo huko. Utaisaidia nji hii zaidi kuliko kung'ang'ania mambo usiyoyaweza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri yafaa wazazi wao wazomewe.
 
Unatumia juhudi kubwa kumlinda Mbowe aliyevurunda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Uzomewe wewe unayetumika kinyume cha maumbile.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wahame,wasihame,hawana madhara kwenye uchumi we nchi,inobidi wazomewe ni hawa walioingia serikalini tangu 2015 Mpaka Leo,uchumi unayumba yumba tu,maisha yamekuwa magumu,deni LA Taifa limeongezeka kwa kasi,Ajira zimepungua,Nchi haina mwerekeo chana,
Maamuzi ya kukurupuka kwenye korosho,
Nchi inaendeshwa kwa hisia za MTU mmoja tu,

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajipa moyo eeee
 
Hasizomewe bali apigiwe makofi kwa kukuza viongozi majembe ambao CCM inavutiwa nao.
 
tumzome anay
tumzomee anaye wanunua.
 
Wwe shida yako nn chadema ikifa si ndo furaha yenu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…