Kutokana na hamahama hii, Mbowe azomewe?

Habari wana jamvi.

Mwaka jana baada ya timu ya Arsenal kufanya vibaya kwenye ligu kuu ,mashabiki wake kote duniani walipaza na kumzomea kocha mkuu Wenger aondoke ili kupisha mabadiliko ya kiungozi kwenye timu hiyo.

Kocha Wenger aliwapuuza sana mashabiki hao lakini mwisho wa siku aliamua kusikiliza kilio chao na kuamua kuondoka kwa kukubali ukweli kwamba timu inapofanya vibaya wakulaumiwa ni kocha na ni lazima hutimuliwa.

Nimetolea mfano wa timu ya Arsenal kwa kulinganisha na ufanyaji vibaya wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.
Chadema toka baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 imepoteza mvuto kwa wananchi ! Madiwani na wabunge wa chadema wanajivua nyasifa zao ndani ya chama hicho na kuomba kupokelewa ccm.! Yote haya yanatokea kocha akiwa Mbowe.

Kwa hali ilivyo sasa ndani ya chama hicho hamna namna ambayo Mbowe atazuia anguko la chadema nchini.
Ili kuruhusu mabadiliko na morali mpya ndani ya chadema ni lazima kocha Mbowe azomewe na kufukuzwa kama kocha Arsene Wenger wa Arsenal.

Hoja ya kwamba Mbowe akiondoka chadema itaangukia mikononi mwa wasaliti haina mashiko mbele ya wapenda mabadiliko.
Hata akina Lipumba , Mbatia , Cheyo , Mrema walikuwa wanasema hivi hivi eti wakiondoka chama kitakaliwa na wasaliti . Kiko wapi sasa?

#Mbowe must Go

Sent using Jamii Forums mobile app
Ujinga mzigo!
 
Kinachotokea kinazidi kuimarisha chama chake na kufanya "wanaopora" ushindi mchana kweupe kwa kuvaa nguo za polisi au tume kuanza kujichimbia kaburi. Wananchi ambao sio wanyonge kama baadhi ya watu wanavyowaita wataonyesha ngumu yao. "Saa ya ukombozi ni Sasa" Rev Christopher Mtikila RIP
 
Kinachotokea kinazidi kuimarisha chama chake na kufanya "wanaopora" ushindi mchana kweupe lea kuvaa nguo za polisi au tume kuanza kujichimbia kaburi. Wananchi ambao sio wanyonge kama baadhi ya watu wanavyowaita wanaonjesha ngumu yao. "Saa ya ukombozi ni Sasa" Rev Christopher Mtikila RIP
Kwa kujipa moyo mko vizuri
 
Lakini viongozi wanaosababisha haya ndani ya Chadema wapo tu.

Wanachama nao wapo tu badala ya kuwataka wajihuzuru!!!
 
Swali la kizushi.

Kwa mfano mbowe akihama kuelekea CCM. Je utafunguka ukurasa mpya wa ustawi wa CDM. Maana kama wanachama wa CDM wanakimbia kisa Mbowe,tujiulize kama walioondoka watarudi CDM au la?

Pia kama wanahama kwa lengo la kumuunga mkono Rais Magufuli na sio ustawi na uongozi uliotukuka wa CCM, Je siku Magufuli akiondoka madarakani. Mtazamo wa ndani ya chama tawala utakuwaje? Maana utakuwa na wanachama wengi walioonja radha ya upinzani na kupigania kile kinachoitwa mabadiliko, katiba, demokrasia n.k, je hawa ndio watakuwa viongozi wa chama wa baadaye?

Binafsi naona hizi ni siasa tu na madhara yatokanayo na maamuzi ya kisiasa huwa yanaonekana miaka michache ijayo. Lazima kati ya CCM na CDM mmoja atakuwa na wakati mgumu baadaye.
CCM
 
Viongozi na wafuasi wa Chadema hujiadai wanajitambua na wenye uelewa sana kumbe kinyume chake

Sent using Jamii Forums mobile app
Nikweli
tapatalk_1551123978729.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe una akili kweli? Hivi hata hotuba za mh Mbowe huna, sio kazi yake kuzuia utashi wa mtu. Mzomewe nyie CCM mliomdhihaki Lowassa kuwa fisadi sasa mmempokea.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimetolea mfano wa timu ya Arsenal kwa kulinganisha na ufanyaji vibaya wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.
Chadema toka baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 imepoteza mvuto kwa wananchi ! Madiwani na wabunge wa chadema wanajivua nyasifa zao ndani ya chama hicho na kuomba kupokelewa ccm.! Yote haya yanatokea kocha akiwa Mbowe.
ukiwa na akili maana yake unakua na uwezo wa kutofautisha kati ya voluntary na involuntary actions. Hakuna aliyehama CDM kwa hiyari yake ni either ametishiwa maisha, ametishiwa kutorejea ktk nafasi yake ktk uchaguzi ujao (kuiba kura by any means possible), au amepewa rushwa AUNGE MKONO JUHUDI HEWA.
 
Akina Lisu ,Mbowe ,Mdee kumbe hawatishiwi maisha ndiyo maana hawahamii ccm?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shughuli zote za kisiasa zinafanywa na ccm pekee we bado unataka mvuto kwa chadema
 
Back
Top Bottom