MUSIGAJI
JF-Expert Member
- Dec 26, 2014
- 2,254
- 2,715
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe unamuonea tu. Nyuma ya pazia ya hamahama kuna nguvu kubwa ambayo Mbowe hahusiki. Kumfananisha Mbowe na kocha wa Arsenal ni kuleta ushabiki usio na maana wakati sisi kama taifa tuna tatizo kubwa la kushughulia na kupata majibu sahihi na mustakabali wa nchi yetu.Habari wana jamvi.
Mwaka jana baada ya timu ya Arsenal kufanya vibaya kwenye ligu kuu ,mashabiki wake kote duniani walipaza na kumzomea kocha mkuu Wenger aondoke ili kupisha mabadiliko ya kiungozi kwenye timu hiyo.
Kocha Wenger aliwapuuza sana mashabiki hao lakini mwisho wa siku aliamua kusikiliza kilio chao na kuamua kuondoka kwa kukubali ukweli kwamba timu inapofanya vibaya wakulaumiwa ni kocha na ni lazima hutimuliwa.
Nimetolea mfano wa timu ya Arsenal kwa kulinganisha na ufanyaji vibaya wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.
Chadema toka baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 imepoteza mvuto kwa wananchi ! Madiwani na wabunge wa chadema wanajivua nyasifa zao ndani ya chama hicho na kuomba kupokelewa ccm.! Yote haya yanatokea kocha akiwa Mbowe.
Kwa hali ilivyo sasa ndani ya chama hicho hamna namna ambayo Mbowe atazuia anguko la chadema nchini.
Ili kuruhusu mabadiliko na morali mpya ndani ya chadema ni lazima kocha Mbowe azomewe na kufukuzwa kama kocha Arsene Wenger wa Arsenal.
Hoja ya kwamba Mbowe akiondoka chadema itaangukia mikononi mwa wasaliti haina mashiko mbele ya wapenda mabadiliko.
Hata akina Lipumba , Mbatia , Cheyo , Mrema walikuwa wanasema hivi hivi eti wakiondoka chama kitakaliwa na wasaliti . Kiko wapi sasa?
#Mbowe must Go
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenitia uchungu kuzungumzia wastaafu. Jana nimemsikia Rais wa TUCTA akizungumza na wabunge huko Dodoma (but it was recorded) kuwa kuna wastaafu wa serikali wana zaidi ya mwaka hawajalipwa yale mafao yao ya mkupuo.Hapo wa kuzomewa na kutimuliwa ni mwenyekiti wa CCM anayechota pesa hazina kwa ajili ya kununua wapinzani na kurudia uchaguzi kila baada ya wiki mbili wakati tangu aingie madarakani deni la taifa limepaa kutoka trillion 28 hadi trillion 60, pesa za wastaafu zimechotwa zinafanyia kampeni za CCM, since 2015 hakuna salary incriment, sukari bei juu, cement bei juu, fao la kujitoa limefutwa ili pesa zitumiwe na wanaccm kufanya manunuzi ya binadamu.
Fisi wa lumumba endeleeni kusherehekea.
Sent using Jamii Forums mobile app
Lkn mboe si anafaa kuzomewa?Umenitia uchungu kuzungumzia wastaafu. Jana nimemsikia Rais wa TUCTA akizungumza na wabunge huko Dodoma (but it was recorded) kuwa kuna wastaafu wa serikali wana zaidi ya mwaka hawajalipwa yale mafao yao ya mkupuo.
Mbaya zaidi CEO wa huo mfuko mpya naye anakiri jambo hilo nakuahidi eti hadi January watalipwa wote.
Wanajisifu nini wakati hayo yalikuwa haya tokei?
Ndio maana nawaambia Ukonga na Monduli, endeleeni kuipa CCM kura ili muwe mnaona Bombardier zikipita angani lakini nyie kuliwa pension zenu mtasikia mijadala tuu hadi mfe
Lakini si ni kweli chadema imesinyaa kila kona kwa sababu ya uongozi mbovu?Kama ulitumwa rudi kawaambie mbona hawa jamaa hawaelewi kuhusu Mbowe, wanampenda kupitiliza. Kama umetumwa na polepole mwambie kisiasa bado yupo kindergarten anahitaji kujifunza kwanza aingiee la kwanza, std 7,form 4, six, chuo ndipo aje kupambana na Mbowe
Hii like ya Myalla inatakiwa ikufundishe kuwa wewe Lugeye ni mjinga wa mwishoPamoja na ujinga wa wazi kabisa kuonyeshwa na mleta mada ila nimekuwa shocked baada ya kuona nguli na mchambuzi maarufu mwenye weredi mkubwa mwandishi wa habari mkubwa hapa Tz Pascal Mayalla ku like huu uzi,nimekushangaa sana mkuu Mayalla
Hapo tayar buku 7 yako unayo tayarHabari wana jamvi.
Mwaka jana baada ya timu ya Arsenal kufanya vibaya kwenye ligu kuu ,mashabiki wake kote duniani walipaza na kumzomea kocha mkuu Wenger aondoke ili kupisha mabadiliko ya kiungozi kwenye timu hiyo.
Kocha Wenger aliwapuuza sana mashabiki hao lakini mwisho wa siku aliamua kusikiliza kilio chao na kuamua kuondoka kwa kukubali ukweli kwamba timu inapofanya vibaya wakulaumiwa ni kocha na ni lazima hutimuliwa.
Nimetolea mfano wa timu ya Arsenal kwa kulinganisha na ufanyaji vibaya wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.
Chadema toka baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 imepoteza mvuto kwa wananchi ! Madiwani na wabunge wa chadema wanajivua nyasifa zao ndani ya chama hicho na kuomba kupokelewa ccm.! Yote haya yanatokea kocha akiwa Mbowe.
Kwa hali ilivyo sasa ndani ya chama hicho hamna namna ambayo Mbowe atazuia anguko la chadema nchini.
Ili kuruhusu mabadiliko na morali mpya ndani ya chadema ni lazima kocha Mbowe azomewe na kufukuzwa kama kocha Arsene Wenger wa Arsenal.
Hoja ya kwamba Mbowe akiondoka chadema itaangukia mikononi mwa wasaliti haina mashiko mbele ya wapenda mabadiliko.
Hata akina Lipumba , Mbatia , Cheyo , Mrema walikuwa wanasema hivi hivi eti wakiondoka chama kitakaliwa na wasaliti . Kiko wapi sasa?
#Mbowe must Go
Sent using Jamii Forums mobile app
unakatwa mshahara wako anapewa waitara, manake wanazopewa kutoka kwenye makato ya kodi zetu, yale hayana kodi, anayetoa anakula commission yake, sasa we furahia wakati hospitalini kwenu hata piriton hakuna,Habari wana jamvi.
Mwaka jana baada ya timu ya Arsenal kufanya vibaya kwenye ligu kuu ,mashabiki wake kote duniani walipaza na kumzomea kocha mkuu Wenger aondoke ili kupisha mabadiliko ya kiungozi kwenye timu hiyo.
Kocha Wenger aliwapuuza sana mashabiki hao lakini mwisho wa siku aliamua kusikiliza kilio chao na kuamua kuondoka kwa kukubali ukweli kwamba timu inapofanya vibaya wakulaumiwa ni kocha na ni lazima hutimuliwa.
Nimetolea mfano wa timu ya Arsenal kwa kulinganisha na ufanyaji vibaya wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.
Chadema toka baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 imepoteza mvuto kwa wananchi ! Madiwani na wabunge wa chadema wanajivua nyasifa zao ndani ya chama hicho na kuomba kupokelewa ccm.! Yote haya yanatokea kocha akiwa Mbowe.
Kwa hali ilivyo sasa ndani ya chama hicho hamna namna ambayo Mbowe atazuia anguko la chadema nchini.
Ili kuruhusu mabadiliko na morali mpya ndani ya chadema ni lazima kocha Mbowe azomewe na kufukuzwa kama kocha Arsene Wenger wa Arsenal.
Hoja ya kwamba Mbowe akiondoka chadema itaangukia mikononi mwa wasaliti haina mashiko mbele ya wapenda mabadiliko.
Hata akina Lipumba , Mbatia , Cheyo , Mrema walikuwa wanasema hivi hivi eti wakiondoka chama kitakaliwa na wasaliti . Kiko wapi sasa?
#Mbowe must Go
Sent using Jamii Forums mobile app
ndio ukweli, ndo mada yenyewe hiyo mkuu, unafanya kazi kwa bidii kodi unakatwa anaenda nunuliwa mpinzaniJikite kwenye maada