super nova
JF-Expert Member
- Aug 12, 2014
- 1,479
- 1,097
Mbowe apite hivi[emoji316][emoji316]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Timu ikifanya vibaya mpinzani wake si ndio sherehe? Toka lini washabiki wa man u wakaiombea mema Man City? Guardiola akichemka si ndio furaha kwa man U? Mbowe akichemka si ndio furaha ya CCM? Sasa ninyi CCM mnatuachia maswali mengi ni kwa nn mnataka Mbowe aondoke.
Umesoma shule za kata?Habari wana jamvi.
Mwaka jana baada ya timu ya Arsenal kufanya vibaya kwenye ligu kuu ,mashabiki wake kote duniani walipaza na kumzomea kocha mkuu Wenger aondoke ili kupisha mabadiliko ya kiungozi kwenye timu hiyo.
Kocha Wenger aliwapuuza sana mashabiki hao lakini mwisho wa siku aliamua kusikiliza kilio chao na kuamua kuondoka kwa kukubali ukweli kwamba timu inapofanya vibaya wakulaumiwa ni kocha na ni lazima hutimuliwa.
Nimetolea mfano wa timu ya Arsenal kwa kulinganisha na ufanyaji vibaya wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.
Chadema toka baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 imepoteza mvuto kwa wananchi ! Madiwani na wabunge wa chadema wanajivua nyasifa zao ndani ya chama hicho na kuomba kupokelewa ccm.! Yote haya yanatokea kocha akiwa Mbowe.
Kwa hali ilivyo sasa ndani ya chama hicho hamna namna ambayo Mbowe atazuia anguko la chadema nchini.
Ili kuruhusu mabadiliko na morali mpya ndani ya chadema ni lazima kocha Mbowe azomewe na kufukuzwa kama kocha Arsene Wenger wa Arsenal.
Hoja ya kwamba Mbowe akiondoka chadema itaangukia mikononi mwa wasaliti haina mashiko mbele ya wapenda mabadiliko.
Hata akina Lipumba , Mbatia , Cheyo , Mrema walikuwa wanasema hivi hivi eti wakiondoka chama kitakaliwa na wasaliti . Kiko wapi sasa?
#Mbowe must Go
Sent using Jamii Forums mobile app
Hadi serekali inamgwayaMbowe alipo kula hela ya fisadi Lowasa bilion 7+ Mbowe nilimwogopa...
Ukitaka kujua mziki wa Mbowe mulize @dr slaa hadi jamaa kambia nchi
Unamwambia nani haya maneno? Mbona unakosa adabu na kama huna heshima wewe? Maana kila anayeufungua huu uzi wako ni kama unamwambia afanye ulivyoandika! Tunakukosea wapi? Mods hebu hangaikeni na huyu anayelikosea jukwaa adabu na heshima kwani tupo watu wenye staha na heshima kubwa sana katika jamii! Tulindie heshima na adabu zetu tafadhali!
Siyo lazima ubakie humo! Unaweza kutembea kama walivyofanya kina mwita et al! Kubaki kwako kunaonyesha kuwa kuna unayoyafaidi hivyo acha kutuzuga! Na nina uhakika wewe ni mamluki na ni wa lumumba ika unajivika ucdm kuwavuta wajinga wenzako! Ondokeni wote tena wote kabisa kudhihirisha unafiki na uoga wenu! Kijana wa wapi akimbiaye mapambano kama siyo legelege! Cdm hawaoi wanaume, ulikosea kuja kutafuta bwana cdm!Hivi Ufipa nzima+dikteta Mbowe wote ukiwachanganya mahali pamoja kuna ambae anaeweza kujenga hoja kama hii ya Etwege?
#Mbowe must go
Atuachie chama vijana.. Siasa za ushindani haziwezi tena
Yah baada ya kumzomea Mbowe kila kata kitajengeka kiwanda kimoja na kila mwalimu atapata lap top.HALAFU TUKISHAMZOMEA MBOWE, MAISHA YETU YATAKUWA BORA ZAIDI YA HAPO
Mkuu inaonekana Mh. Mbiwe hakupi usingizi. Inaonekana pia were pia umeteuliwa kiranja wa kuimba nyimbo za uhamasishaji ilianaewanyima usongizi aachie madaraka.In short you have pressed the wrong button, na huo wimbo haunogi tens.Switch to another song!Habari wana jamvi.
Mwaka jana baada ya timu ya Arsenal kufanya vibaya kwenye ligu kuu ,mashabiki wake kote duniani walipaza na kumzomea kocha mkuu Wenger aondoke ili kupisha mabadiliko ya kiungozi kwenye timu hiyo.
Kocha Wenger aliwapuuza sana mashabiki hao lakini mwisho wa siku aliamua kusikiliza kilio chao na kuamua kuondoka kwa kukubali ukweli kwamba timu inapofanya vibaya wakulaumiwa ni kocha na ni lazima hutimuliwa.
Nimetolea mfano wa timu ya Arsenal kwa kulinganisha na ufanyaji vibaya wa chama kikuu cha upinzani nchini Chadema.
Chadema toka baada ya uchaguzi mkuu wa mwaka 2015 imepoteza mvuto kwa wananchi ! Madiwani na wabunge wa chadema wanajivua nyasifa zao ndani ya chama hicho na kuomba kupokelewa ccm.! Yote haya yanatokea kocha akiwa Mbowe.
Kwa hali ilivyo sasa ndani ya chama hicho hamna namna ambayo Mbowe atazuia anguko la chadema nchini.
Ili kuruhusu mabadiliko na morali mpya ndani ya chadema ni lazima kocha Mbowe azomewe na kufukuzwa kama kocha Arsene Wenger wa Arsenal.
Hoja ya kwamba Mbowe akiondoka chadema itaangukia mikononi mwa wasaliti haina mashiko mbele ya wapenda mabadiliko.
Hata akina Lipumba , Mbatia , Cheyo , Mrema walikuwa wanasema hivi hivi eti wakiondoka chama kitakaliwa na wasaliti . Kiko wapi sasa?
#Mbowe must Go
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona umekomaa kumtetea?Mbona umekomaa na Mbowe sana,Chama ikianguka si ndo raha yako,huu Mziki tulishauchoka sana.