Kutokana na kuwepo kwa taarifa mbalimbali kuhusu ndoa ya Mrema, Halima avunja ukimya

hawana mgogoro wowote na baba yao kuhusu kuoa kwani mzee Mrema ni mtu mwenye akili timamu na anafanya maamuzi
mshaurini mzee kuoa katika umri huo ni kujisogezea matatizo kibao maishani - mshaurini apate muda wa kupumzika nakula maisha ambayo mwenyezi Mungu kamjalia hapa duniani bila matatizo.. ni nini anachokitafuta kwa umri huo ambacho hajakipata na atakipata akioa tena? busara yenu watoto hasa wa kike itamwokoa baba yenu.

Masuala ya kuanza kuhangaika na keki ya wakwe tena kwa umri huo wapi na wapi ndugu ?
 
Msichana anaenda subiri urithi tu nakumbuka mzee Lyatonga ana lile landcruiser yake lile la zamani sijui bado lipo?
 
Bado hajawa, ni kosa kisheria kumbadilisha mtu jina bila idhini yake wala kiapo cha mahakamani.
 
Halima apate somo la kutosha kwa Jackline wa mzee machache R.I.P.
hawa wazee wanaoa vitoto vidogo wanataka kuacha migogoro wa mirathi tu akuna kingine.
 
Lyatonga atasilim?
Kivp?? Mrema mkristo safii kabisaa na huoni huyu halima kasema kipindi cha kwaresma hiki mpaka kipite ndipo ndoa basi tambua ukipita pasaka ambayo itakuwa kwenye tarehe 11 au 12 so tegemea tarehe 15 hivi mwezi ujao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…