Kutokana na maendeleo ya kiteknolojia, waislamu bado wanazo sababu za kuzuia wanawake kwenda kuzika?

Miaka 9 bado hajavunja ungo. Hapo bado ni mtoto haijalishi ni mwarabu, mzungu, mjapan n.k
Kama una mtoto wako wa kike mwenye miaka 9 mpeleke akaolewe ndiyo utajua huu ni ubakaji
Wako baadhi wana vunja ungo kuanzia miaka 9, fanya tafiti
 
Nimegundua kuwa wewe huna lengo la kujifunza. Nyuzi zako za zamani nilikuwa nadhani unataka kujifunza, lakini nimegundua hutaki kujifunza. Ulishawahi kuanzisha uzi (upo Jukwaa la Dini) ukauliza kuhusu Sunnah na ukajibiwa. Ila sijui why unauliza swali kama hili tena.

Wanawake kutokwenda kuzika sio kwa sababu walikuwa hawajui/hawajawahi kujua mazishi ya Kiislam. Unafikiri wanawake hawaendi kuzika kwa sababu hawajui mazishi ya Kiislam? Wanawake katika Uislam wanalazimika kuisoma Dini yao kama wanaume. Wanawake wanatakiwa kuisoma Dini yao, hakunaga kauli za "mwanamke hana Dini" katika Uislam. Wanawake pia wanakalifishwa na Shariah za Allah, na kuitekeleza Dini kunahitajika Elimu/kusoma, hivyo nao lazima wasome.

Ila hukmu hutofautiana baina ya wanaume na wanawake katika baadhi ya mambo ya Kishari'ah kwa Hikma ya Allah ambaye kawaumba wanawake na wanaume na anawajua vizuri zaidi. Mfano wote wanapaswa kuswali (wanawake na wanaume) ila kuna hukmu wanatofautiana.

Sio kwamba wanaonewa au kukandamizwa.

Na sio kwamba hawafanyi mambo fulani kwa sababu tu hawajui/hawawezi kujua. Kama unavyotaka kuashiria.

Kukutaarifu tu;
Wanawake wanaosha maiti za wanawake wenzao, bali Mwanamke anaruhusiwa kuiosha maiti ya mumewe, wanawake wanaweza kukafini wanawake wenzao (kuwavika sanda). Wanawake wanaswalia maiti (ya mwanamume au mwanamke), hawaendi tu kuzika makaburini.

Kutokwenda makaburini kuzika isikupe tabu. Kukatazwa wanawake kufanya jambo fulani wala sio ajabu. Hili hata kwa wanaume, kuna mambo wanakatazwa ila wanawake wanaruhusiwa. Mfano ni haramu mwanaume kuvaa dhahabu (hapa duniani) ila ni halali kwa wanawake, ni haramu wanaume kuvaa hariri (hapa duniani) ila ni halal kwa wanawake.

Kuna mambo wanaume wanalazimishwa ila kwa wanawake wamepewa hiari, mfano ni ni LAZIMA mwanaume kuswali Swala ya Ijumaa, ila mwanamke anaweza kuswali Swala ya Ijumaa au akitaka akaswali Dhuhr nyumbani kwake badala ya Swala ya Ijumaa, hiari hiyo hajapewa mwanaume, LAZIMA kwa mwanaume (labda awe na udhuru wa kishari'ah). Ni lazima mwanaume kuswali Swala za Faradhi Msikitini katika Jamaa (isipokuwa anapokuwa na udhuru wa kishari'ah utakaomfanya asiswali Jamaa msikitini) ila sio lazima kwa mwanamke kuswali Jamaa msikitini, ila anaweza kuswali msikitini.

Na mifano mengine mingi.

Hukumu zinaweza kubadilika si kwa jinsia tu, hata mtu mmoja huyo huyo, hukmu katika mambo ya Ibadah zinaweza kubadilika kwake kulingana na hali, mfano; mtu anawajibika kuswali Swala tano za Faradhi, ila anavyoswali akiwa katika hali ya kawaida (mzima na afya) ni tofauti kidogo na atakavyoswali katika hali za dharura kama ugonjwa na safari (kuna tahfifu kapewa), hukmu zinabadilika kulingana na hali yake atakayokuwa nayo na Shari'ah ishaweka bayana katika kila hali.

Uislam sio Dini ya Usawa. Ni Dini ya UADILIFU. Hakuna usawa katika Uislam, kuna Uadilifu.

So usitake kutaka kuleta mambo ya "usawa" yaliyotokana na fikra za watu nje ya Uislam (ambazo ni uongo mtupu na uharibifu).

Tunaridhia Shari'ah kutoka kwa Mola wetu. Na tunasikia na tunatii.

Na Allah ni Mjuzi zaidi.
Aisee, Allah akuzidishie elimu na maarifa na akulipe kheri.
 
Kama hajaelewa hapa basi tena
 
Nilikuwa naangalia hii video niliyotumiwa na rafiki ya mmoja.

Kwenye video hii inaonesha tangu mtu anafungwa kwenye sanda mpaka anazikwa.

Nikajiuliza ni kwa nini waislamu wanazuia wanawake kwenda kuzika. Je, ni Muongozo wa dini yao unaotokana na maamrisho ya mwenyezimungu yaliyomo kwenye Quran Tukufu, ama ni tamaduni tu?

Waislamu ulimwengu mzima wanazuia wanawake kwenda kuzika. Je, hicho kinachofanya wanawake kuzuiwa kwenda kuzika, kwa maendeleo haya ya teknolojia hasa ya mawasiliano, wanawake hawawezi kukiona?

Je, picha za video na mitandao ya kijamii haiwezi kumfanya mwanamke wa Kiislamu kujua nini huwa kinafanyika kwenye maziko ya Kiislamu?
Kujua na kutokujua sio sababu inayozuia wanawake wa kiislamu kwenda kuzika.
Kwamfano kwenye hatua ya kumuosha maiti ni kwamba anapokufa muislamu mwanamke huoshwa na waislamu wanawake wenzao .Kumswalia maiti pia wanawake wanaruhusiwa kumswalia maiti akiwa mwanamke mwenzao au mwanamke.
Jambo walilokatazwa ni kusindikiza jeneza kwenda kuzika pamoja na kushiriki ibada ya kuzika.
Nimeona hoja ya mmoja wa wachangiaji kuhusu wanawake waislamu kushiriki ibada za mazishi wa kikristo au wapagani nasema hao wanawake wanaoshiriki mazishi ya watu wa dini nyingine ni malimbukeni wanaofanya mambo ambayo ni kinyume na mafundisho ya dini yao kwa sababu hata wanaume wanaoshiriki mazishi ya watu wa dini nyingine wanaume au wanawake wanafanya makosa. Mwislamu mwanaume au mwanamke anayejitambua hawezi shiriki mazishi, harusi Wala sherehe za watu wa dini nyingine.
 
Ndugu yangu Baljurashi unanisingizia. Sina lengo lingine ila kujifunza.

Pia Mimi huwa nauliza maswali ambayo wengine wanaona ni "taboo" kuuliza.

Sina nia ya kutaka usawa kwenye dini isiyo yangu bali nahusika nayo. Leo nazika ndugu yangu kitovu kimoja ambaye ni Muislamu. Je hapo uislamu haunihusu?

Hizi dini ni wachache wa mjini ambao hatuna mchanganyiko wa hizi dini mbili kwenye familia zetu.

Hata hivyo maelezo yako mareefu hayajajibu swali langu. Jee wanawake kutokwenda kuzika ni maamrisho ya mwenyezi Mungu ama ni mapokeo ya kitamaduni tu?
Hilo swali jawabu lake unalo mwenyewe, unadhani dunia nzima kunaweza kukawa na utamaduni mmoja na watu wote wakafanana? hayo ndio mafundisho ya uislamu tangu enzi ya mtume muhammad swala na amani ziwe juu yake, wanawake hawaendi kuzika makaburini.

Uislamu hauna new na old version sisi tunafuata dini ile ile ya kale hatuna maboresho wala usasa, dini yetu inaendana na hali zote na zama zote.
 
Nakazia mada. Sheria za muumba wa ulimwengu na vilivyomo ndani yake haziwezi kubadilishwa kutokana na maendeleo yaliyopo katika nyakati husika. Hatuwezi kuhalalisha watu kutazama utupu wa wengine kisa kukithiri kwa maudhui za utupu mitandaoni. Pia hatuwezi kuruhusu ushoga na usagaji kutokana uwepo wa international human rights bodies kama UN na watu wenye ushawishi mkubwa duniani. hatuwezi kuhalalisha matumizi ya vilevi kama ngada na bangi kutokana na uwepo wa matibabu juu ya madhara ya utumivu wake...... je?, tuhalalishe watoto wakiume kuingiliwa kama wanavyodai baadhi ya wahubiri wadini X (akiwemo baba francis) kwakuwa muruwa wa maisha ya zama tulizopo unaunga mkono homosexuality.
 
Cha kushangaza Hao hao wanaokatazwa kwenye dini yao,
Akifariki jirani Mkristo wana hudhuria kwa kufuata taratibu zote za kikristo,ikiwemo kumtazama Marehemu kwa mara ya mwisho(kuaga mwili wa marehem)
Na kuhudhuria makaburini wkt wa mazishi.
Hao waislamu wanaohudhuria maziko ya makafiri ni malimbukeni wasiojali maelekezo ya dini yao .
Mwislamu anayeijua misingi na mafundisho ya dini yake hawezi kushiriki mazishi ya wakristo Wala mazishi ya watu wa dini nyingine.
 
Miaka 9 bado hajavunja ungo. Hapo bado ni mtoto haijalishi ni mwarabu, mzungu, mjapan n.k
Kama una mtoto wako wa kike mwenye miaka 9 mpeleke akaolewe ndiyo utajua huu ni ubakaji
Naomba nikueleweshe Bro kuna dini na tamaduni ( dini ni mfumo wa maisha uishi vipi, ule vipi, uvae vipi, uamini kipi)Tamaduni ni namna jamii inavyo yakabili maisha..

Iran kuna tamaduni kama ilivyo nchi nyingine za kiarabu pia Africa tuna tamaduni tofauti na Asia au china..

Kwenye Mada kuoa mwanamke wa umri wa miaka 9.. waarabu iwe muislam au asiye muislam wanatamaduni ya kurithishana na kuoa ndani ya ukoo yan mtoto anaweza kuzaliwa leo ndani ya mwezi mmoja ukaambiwa huyu ataolewa na mtoto wa mpwa wako, unakuta binti Mpaka anakua msichana tayari anajua nani atamuoa

Neno kuoa wanavyo litafsiri sio kumuingilia au kushiriki tendo hapana... Ila ni kuwa halali ya mtu fulani kwa mantiki ya umestirika hauna sababu ya kushawishika na zinaa..

Kwa upande wa dini hiko kitu sijawahi kuona kama kipo ila ni tamaduni ya watu/jamii fulani..
 
Hayo siyo majibu yangu ni majibu kutoka kwa muislamu mwenzako.
Kama hakuna utulivu kwahiyo Allah hawezi kukusamehe?
Ndo nami nimekufafanulia sio kweli aliyoyasema, vilio vinaondosha Utulivu sio msamaha, yeye alielewa tofauti.
 
Ndo waoe wa miaka 9 hata matiti bado hayajaota?
Naomba nikueleweshe Bro kuna dini na tamaduni ( dini ni mfumo wa maisha uishi vipi, ule vipi, uvae vipi, uamini kipi)Tamaduni ni namna jamii inavyo yakabili maisha..

Iran kuna tamaduni kama ilivyo nchi nyingine za kiarabu pia Africa tuna tamaduni tofauti na Asia au china..

Kwenye Mada kuoa mwanamke wa umri wa miaka 9.. waarabu iwe muislam au asiye muislam wanatamaduni ya kurithishana na kuoa ndani ya ukoo yan mtoto anaweza kuzaliwa leo ndani ya mwezi mmoja ukaambiwa huyu ataolewa na mtoto wa mpwa wako, unakuta binti Mpaka anakua msichana tayari anajua nani atamuoa

Neno kuoa wanavyo litafsiri sio kumuingilia au kushiriki tendo hapana... Ila ni kuwa halali ya mtu fulani kwa mantiki ya umestirika hauna sababu ya kushawishika na zinaa..

Kwa upande wa dini hiko kitu sijawahi kuona kama kipo ila ni tamaduni ya watu/jamii fulani..
 
Nimegundua kuwa wewe huna lengo la kujifunza. Nyuzi zako za zamani nilikuwa nadhani unataka kujifunza, lakini nimegundua hutaki kujifunza. Ulishawahi kuanzisha uzi (upo Jukwaa la Dini) ukauliza kuhusu Sunnah na ukajibiwa. Ila sijui why unauliza swali kama hili tena.

Wanawake kutokwenda kuzika sio kwa sababu walikuwa hawajui/hawajawahi kujua mazishi ya Kiislam. Unafikiri wanawake hawaendi kuzika kwa sababu hawajui mazishi ya Kiislam? Wanawake katika Uislam wanalazimika kuisoma Dini yao kama wanaume. Wanawake wanatakiwa kuisoma Dini yao, hakunaga kauli za "mwanamke hana Dini" katika Uislam. Wanawake pia wanakalifishwa na Shariah za Allah, na kuitekeleza Dini kunahitajika Elimu/kusoma, hivyo nao lazima wasome.

Ila hukmu hutofautiana baina ya wanaume na wanawake katika baadhi ya mambo ya Kishari'ah kwa Hikma ya Allah ambaye kawaumba wanawake na wanaume na anawajua vizuri zaidi. Mfano wote wanapaswa kuswali (wanawake na wanaume) ila kuna hukmu wanatofautiana.

Sio kwamba wanaonewa au kukandamizwa.

Na sio kwamba hawafanyi mambo fulani kwa sababu tu hawajui/hawawezi kujua. Kama unavyotaka kuashiria.

Kukutaarifu tu;
Wanawake wanaosha maiti za wanawake wenzao, bali Mwanamke anaruhusiwa kuiosha maiti ya mumewe, wanawake wanaweza kukafini wanawake wenzao (kuwavika sanda). Wanawake wanaswalia maiti (ya mwanamume au mwanamke), hawaendi tu kuzika makaburini.

Kutokwenda makaburini kuzika isikupe tabu. Kukatazwa wanawake kufanya jambo fulani wala sio ajabu. Hili hata kwa wanaume, kuna mambo wanakatazwa ila wanawake wanaruhusiwa. Mfano ni haramu mwanaume kuvaa dhahabu (hapa duniani) ila ni halali kwa wanawake, ni haramu wanaume kuvaa hariri (hapa duniani) ila ni halal kwa wanawake.

Kuna mambo wanaume wanalazimishwa ila kwa wanawake wamepewa hiari, mfano ni ni LAZIMA mwanaume kuswali Swala ya Ijumaa, ila mwanamke anaweza kuswali Swala ya Ijumaa au akitaka akaswali Dhuhr nyumbani kwake badala ya Swala ya Ijumaa, hiari hiyo hajapewa mwanaume, LAZIMA kwa mwanaume (labda awe na udhuru wa kishari'ah). Ni lazima mwanaume kuswali Swala za Faradhi Msikitini katika Jamaa (isipokuwa anapokuwa na udhuru wa kishari'ah utakaomfanya asiswali Jamaa msikitini) ila sio lazima kwa mwanamke kuswali Jamaa msikitini, ila anaweza kuswali msikitini.

Na mifano mengine mingi.

Hukumu zinaweza kubadilika si kwa jinsia tu, hata mtu mmoja huyo huyo, hukmu katika mambo ya Ibadah zinaweza kubadilika kwake kulingana na hali, mfano; mtu anawajibika kuswali Swala tano za Faradhi, ila anavyoswali akiwa katika hali ya kawaida (mzima na afya) ni tofauti kidogo na atakavyoswali katika hali za dharura kama ugonjwa na safari (kuna tahfifu kapewa), hukmu zinabadilika kulingana na hali yake atakayokuwa nayo na Shari'ah ishaweka bayana katika kila hali.

Uislam sio Dini ya Usawa. Ni Dini ya UADILIFU. Hakuna usawa katika Uislam, kuna Uadilifu.

So usitake kutaka kuleta mambo ya "usawa" yaliyotokana na fikra za watu nje ya Uislam (ambazo ni uongo mtupu na uharibifu).

Tunaridhia Shari'ah kutoka kwa Mola wetu. Na tunasikia na tunatii.

Na Allah ni Mjuzi zaidi.
Tabulele,
 
I nashangaza mkuu ikiwa kile wanachokatazwa Kwao wana kifanya Kwetu.
Na hakuna lolote lile linalowapata kwa kusudi la katazo la kwao,we hushangai?
usiniambie hujuwi kama huyo mtu atabaki kuitwa muasi wa dini yake. dini yako imekukataza uzinifu, matusi nk na bado waumini wanazini na hakuna aliyepatwa na athari inayoonekana physically na church anaingia bila shida yoyote. ni mara ngapi umeasi sheria na miongozo ya dini yako na bado upo shwari kama ilivyozoweleka? ila bado sheria inakutambua kama muovu
 
Wee umesomea hayo maandiko yanayosema mungu kasema msichana wa miaka 9 aolewe!?, Uliyaona au umeyasikia kutoka kwa hao waloyapitisha!?.
Maandiko ama hadith ya Muhammed kumuoa Aisha mwenye miaka 9 unayajua ama huyajui?
 
Naomba nikueleweshe Bro kuna dini na tamaduni ( dini ni mfumo wa maisha uishi vipi, ule vipi, uvae vipi, uamini kipi)Tamaduni ni namna jamii inavyo yakabili maisha..

Iran kuna tamaduni kama ilivyo nchi nyingine za kiarabu pia Africa tuna tamaduni tofauti na Asia au china..

Kwenye Mada kuoa mwanamke wa umri wa miaka 9.. waarabu iwe muislam au asiye muislam wanatamaduni ya kurithishana na kuoa ndani ya ukoo yan mtoto anaweza kuzaliwa leo ndani ya mwezi mmoja ukaambiwa huyu ataolewa na mtoto wa mpwa wako, unakuta binti Mpaka anakua msichana tayari anajua nani atamuoa

Neno kuoa wanavyo litafsiri sio kumuingilia au kushiriki tendo hapana... Ila ni kuwa halali ya mtu fulani kwa mantiki ya umestirika hauna sababu ya kushawishika na zinaa..

Kwa upande wa dini hiko kitu sijawahi kuona kama kipo ila ni tamaduni ya watu/jamii fulani..
Asante kwa ufafanuzi
 
Back
Top Bottom