Miaka 9 bado hajavunja ungo. Hapo bado ni mtoto haijalishi ni mwarabu, mzungu, mjapan n.kWewe ndie huna akili timamu, kwa kutojua kama binti akivunja unga tayari kasha kuwa mtu mzima.
Ndo waoe wa miaka 9 hata matiti bado hayajaota?Wewe ndie huna akili timamu, kwa kutojua kama binti akivunja unga tayari kasha kuwa mtu mzima.
Ila kuwazini ni sawa kuliko kuwaoa.Ndo waoe wa miaka 9 hata matiti bado hayajaota?
Wako baadhi wana vunja ungo kuanzia miaka 9, fanya tafitiMiaka 9 bado hajavunja ungo. Hapo bado ni mtoto haijalishi ni mwarabu, mzungu, mjapan n.k
Kama una mtoto wako wa kike mwenye miaka 9 mpeleke akaolewe ndiyo utajua huu ni ubakaji
Aisee, Allah akuzidishie elimu na maarifa na akulipe kheri.Nimegundua kuwa wewe huna lengo la kujifunza. Nyuzi zako za zamani nilikuwa nadhani unataka kujifunza, lakini nimegundua hutaki kujifunza. Ulishawahi kuanzisha uzi (upo Jukwaa la Dini) ukauliza kuhusu Sunnah na ukajibiwa. Ila sijui why unauliza swali kama hili tena.
Wanawake kutokwenda kuzika sio kwa sababu walikuwa hawajui/hawajawahi kujua mazishi ya Kiislam. Unafikiri wanawake hawaendi kuzika kwa sababu hawajui mazishi ya Kiislam? Wanawake katika Uislam wanalazimika kuisoma Dini yao kama wanaume. Wanawake wanatakiwa kuisoma Dini yao, hakunaga kauli za "mwanamke hana Dini" katika Uislam. Wanawake pia wanakalifishwa na Shariah za Allah, na kuitekeleza Dini kunahitajika Elimu/kusoma, hivyo nao lazima wasome.
Ila hukmu hutofautiana baina ya wanaume na wanawake katika baadhi ya mambo ya Kishari'ah kwa Hikma ya Allah ambaye kawaumba wanawake na wanaume na anawajua vizuri zaidi. Mfano wote wanapaswa kuswali (wanawake na wanaume) ila kuna hukmu wanatofautiana.
Sio kwamba wanaonewa au kukandamizwa.
Na sio kwamba hawafanyi mambo fulani kwa sababu tu hawajui/hawawezi kujua. Kama unavyotaka kuashiria.
Kukutaarifu tu;
Wanawake wanaosha maiti za wanawake wenzao, bali Mwanamke anaruhusiwa kuiosha maiti ya mumewe, wanawake wanaweza kukafini wanawake wenzao (kuwavika sanda). Wanawake wanaswalia maiti (ya mwanamume au mwanamke), hawaendi tu kuzika makaburini.
Kutokwenda makaburini kuzika isikupe tabu. Kukatazwa wanawake kufanya jambo fulani wala sio ajabu. Hili hata kwa wanaume, kuna mambo wanakatazwa ila wanawake wanaruhusiwa. Mfano ni haramu mwanaume kuvaa dhahabu (hapa duniani) ila ni halali kwa wanawake, ni haramu wanaume kuvaa hariri (hapa duniani) ila ni halal kwa wanawake.
Kuna mambo wanaume wanalazimishwa ila kwa wanawake wamepewa hiari, mfano ni ni LAZIMA mwanaume kuswali Swala ya Ijumaa, ila mwanamke anaweza kuswali Swala ya Ijumaa au akitaka akaswali Dhuhr nyumbani kwake badala ya Swala ya Ijumaa, hiari hiyo hajapewa mwanaume, LAZIMA kwa mwanaume (labda awe na udhuru wa kishari'ah). Ni lazima mwanaume kuswali Swala za Faradhi Msikitini katika Jamaa (isipokuwa anapokuwa na udhuru wa kishari'ah utakaomfanya asiswali Jamaa msikitini) ila sio lazima kwa mwanamke kuswali Jamaa msikitini, ila anaweza kuswali msikitini.
Na mifano mengine mingi.
Hukumu zinaweza kubadilika si kwa jinsia tu, hata mtu mmoja huyo huyo, hukmu katika mambo ya Ibadah zinaweza kubadilika kwake kulingana na hali, mfano; mtu anawajibika kuswali Swala tano za Faradhi, ila anavyoswali akiwa katika hali ya kawaida (mzima na afya) ni tofauti kidogo na atakavyoswali katika hali za dharura kama ugonjwa na safari (kuna tahfifu kapewa), hukmu zinabadilika kulingana na hali yake atakayokuwa nayo na Shari'ah ishaweka bayana katika kila hali.
Uislam sio Dini ya Usawa. Ni Dini ya UADILIFU. Hakuna usawa katika Uislam, kuna Uadilifu.
So usitake kutaka kuleta mambo ya "usawa" yaliyotokana na fikra za watu nje ya Uislam (ambazo ni uongo mtupu na uharibifu).
Tunaridhia Shari'ah kutoka kwa Mola wetu. Na tunasikia na tunatii.
Na Allah ni Mjuzi zaidi.
Kama hajaelewa hapa basi tenaNimegundua kuwa wewe huna lengo la kujifunza. Nyuzi zako za zamani nilikuwa nadhani unataka kujifunza, lakini nimegundua hutaki kujifunza. Ulishawahi kuanzisha uzi (upo Jukwaa la Dini) ukauliza kuhusu Sunnah na ukajibiwa. Ila sijui why unauliza swali kama hili tena.
Wanawake kutokwenda kuzika sio kwa sababu walikuwa hawajui/hawajawahi kujua mazishi ya Kiislam. Unafikiri wanawake hawaendi kuzika kwa sababu hawajui mazishi ya Kiislam? Wanawake katika Uislam wanalazimika kuisoma Dini yao kama wanaume. Wanawake wanatakiwa kuisoma Dini yao, hakunaga kauli za "mwanamke hana Dini" katika Uislam. Wanawake pia wanakalifishwa na Shariah za Allah, na kuitekeleza Dini kunahitajika Elimu/kusoma, hivyo nao lazima wasome.
Ila hukmu hutofautiana baina ya wanaume na wanawake katika baadhi ya mambo ya Kishari'ah kwa Hikma ya Allah ambaye kawaumba wanawake na wanaume na anawajua vizuri zaidi. Mfano wote wanapaswa kuswali (wanawake na wanaume) ila kuna hukmu wanatofautiana.
Sio kwamba wanaonewa au kukandamizwa.
Na sio kwamba hawafanyi mambo fulani kwa sababu tu hawajui/hawawezi kujua. Kama unavyotaka kuashiria.
Kukutaarifu tu;
Wanawake wanaosha maiti za wanawake wenzao, bali Mwanamke anaruhusiwa kuiosha maiti ya mumewe, wanawake wanaweza kukafini wanawake wenzao (kuwavika sanda). Wanawake wanaswalia maiti (ya mwanamume au mwanamke), hawaendi tu kuzika makaburini.
Kutokwenda makaburini kuzika isikupe tabu. Kukatazwa wanawake kufanya jambo fulani wala sio ajabu. Hili hata kwa wanaume, kuna mambo wanakatazwa ila wanawake wanaruhusiwa. Mfano ni haramu mwanaume kuvaa dhahabu (hapa duniani) ila ni halali kwa wanawake, ni haramu wanaume kuvaa hariri (hapa duniani) ila ni halal kwa wanawake.
Kuna mambo wanaume wanalazimishwa ila kwa wanawake wamepewa hiari, mfano ni ni LAZIMA mwanaume kuswali Swala ya Ijumaa, ila mwanamke anaweza kuswali Swala ya Ijumaa au akitaka akaswali Dhuhr nyumbani kwake badala ya Swala ya Ijumaa, hiari hiyo hajapewa mwanaume, LAZIMA kwa mwanaume (labda awe na udhuru wa kishari'ah). Ni lazima mwanaume kuswali Swala za Faradhi Msikitini katika Jamaa (isipokuwa anapokuwa na udhuru wa kishari'ah utakaomfanya asiswali Jamaa msikitini) ila sio lazima kwa mwanamke kuswali Jamaa msikitini, ila anaweza kuswali msikitini.
Na mifano mengine mingi.
Hukumu zinaweza kubadilika si kwa jinsia tu, hata mtu mmoja huyo huyo, hukmu katika mambo ya Ibadah zinaweza kubadilika kwake kulingana na hali, mfano; mtu anawajibika kuswali Swala tano za Faradhi, ila anavyoswali akiwa katika hali ya kawaida (mzima na afya) ni tofauti kidogo na atakavyoswali katika hali za dharura kama ugonjwa na safari (kuna tahfifu kapewa), hukmu zinabadilika kulingana na hali yake atakayokuwa nayo na Shari'ah ishaweka bayana katika kila hali.
Uislam sio Dini ya Usawa. Ni Dini ya UADILIFU. Hakuna usawa katika Uislam, kuna Uadilifu.
So usitake kutaka kuleta mambo ya "usawa" yaliyotokana na fikra za watu nje ya Uislam (ambazo ni uongo mtupu na uharibifu).
Tunaridhia Shari'ah kutoka kwa Mola wetu. Na tunasikia na tunatii.
Na Allah ni Mjuzi zaidi.
Kujua na kutokujua sio sababu inayozuia wanawake wa kiislamu kwenda kuzika.Nilikuwa naangalia hii video niliyotumiwa na rafiki ya mmoja.
Kwenye video hii inaonesha tangu mtu anafungwa kwenye sanda mpaka anazikwa.
Nikajiuliza ni kwa nini waislamu wanazuia wanawake kwenda kuzika. Je, ni Muongozo wa dini yao unaotokana na maamrisho ya mwenyezimungu yaliyomo kwenye Quran Tukufu, ama ni tamaduni tu?
Waislamu ulimwengu mzima wanazuia wanawake kwenda kuzika. Je, hicho kinachofanya wanawake kuzuiwa kwenda kuzika, kwa maendeleo haya ya teknolojia hasa ya mawasiliano, wanawake hawawezi kukiona?
Je, picha za video na mitandao ya kijamii haiwezi kumfanya mwanamke wa Kiislamu kujua nini huwa kinafanyika kwenye maziko ya Kiislamu?
Hilo swali jawabu lake unalo mwenyewe, unadhani dunia nzima kunaweza kukawa na utamaduni mmoja na watu wote wakafanana? hayo ndio mafundisho ya uislamu tangu enzi ya mtume muhammad swala na amani ziwe juu yake, wanawake hawaendi kuzika makaburini.Ndugu yangu Baljurashi unanisingizia. Sina lengo lingine ila kujifunza.
Pia Mimi huwa nauliza maswali ambayo wengine wanaona ni "taboo" kuuliza.
Sina nia ya kutaka usawa kwenye dini isiyo yangu bali nahusika nayo. Leo nazika ndugu yangu kitovu kimoja ambaye ni Muislamu. Je hapo uislamu haunihusu?
Hizi dini ni wachache wa mjini ambao hatuna mchanganyiko wa hizi dini mbili kwenye familia zetu.
Hata hivyo maelezo yako mareefu hayajajibu swali langu. Jee wanawake kutokwenda kuzika ni maamrisho ya mwenyezi Mungu ama ni mapokeo ya kitamaduni tu?
Hao waislamu wanaohudhuria maziko ya makafiri ni malimbukeni wasiojali maelekezo ya dini yao .Cha kushangaza Hao hao wanaokatazwa kwenye dini yao,
Akifariki jirani Mkristo wana hudhuria kwa kufuata taratibu zote za kikristo,ikiwemo kumtazama Marehemu kwa mara ya mwisho(kuaga mwili wa marehem)
Na kuhudhuria makaburini wkt wa mazishi.
Naomba nikueleweshe Bro kuna dini na tamaduni ( dini ni mfumo wa maisha uishi vipi, ule vipi, uvae vipi, uamini kipi)Tamaduni ni namna jamii inavyo yakabili maisha..Miaka 9 bado hajavunja ungo. Hapo bado ni mtoto haijalishi ni mwarabu, mzungu, mjapan n.k
Kama una mtoto wako wa kike mwenye miaka 9 mpeleke akaolewe ndiyo utajua huu ni ubakaji
Ndo nami nimekufafanulia sio kweli aliyoyasema, vilio vinaondosha Utulivu sio msamaha, yeye alielewa tofauti.Hayo siyo majibu yangu ni majibu kutoka kwa muislamu mwenzako.
Kama hakuna utulivu kwahiyo Allah hawezi kukusamehe?
Naomba nikueleweshe Bro kuna dini na tamaduni ( dini ni mfumo wa maisha uishi vipi, ule vipi, uvae vipi, uamini kipi)Tamaduni ni namna jamii inavyo yakabili maisha..Ndo waoe wa miaka 9 hata matiti bado hayajaota?
Tabulele,Nimegundua kuwa wewe huna lengo la kujifunza. Nyuzi zako za zamani nilikuwa nadhani unataka kujifunza, lakini nimegundua hutaki kujifunza. Ulishawahi kuanzisha uzi (upo Jukwaa la Dini) ukauliza kuhusu Sunnah na ukajibiwa. Ila sijui why unauliza swali kama hili tena.
Wanawake kutokwenda kuzika sio kwa sababu walikuwa hawajui/hawajawahi kujua mazishi ya Kiislam. Unafikiri wanawake hawaendi kuzika kwa sababu hawajui mazishi ya Kiislam? Wanawake katika Uislam wanalazimika kuisoma Dini yao kama wanaume. Wanawake wanatakiwa kuisoma Dini yao, hakunaga kauli za "mwanamke hana Dini" katika Uislam. Wanawake pia wanakalifishwa na Shariah za Allah, na kuitekeleza Dini kunahitajika Elimu/kusoma, hivyo nao lazima wasome.
Ila hukmu hutofautiana baina ya wanaume na wanawake katika baadhi ya mambo ya Kishari'ah kwa Hikma ya Allah ambaye kawaumba wanawake na wanaume na anawajua vizuri zaidi. Mfano wote wanapaswa kuswali (wanawake na wanaume) ila kuna hukmu wanatofautiana.
Sio kwamba wanaonewa au kukandamizwa.
Na sio kwamba hawafanyi mambo fulani kwa sababu tu hawajui/hawawezi kujua. Kama unavyotaka kuashiria.
Kukutaarifu tu;
Wanawake wanaosha maiti za wanawake wenzao, bali Mwanamke anaruhusiwa kuiosha maiti ya mumewe, wanawake wanaweza kukafini wanawake wenzao (kuwavika sanda). Wanawake wanaswalia maiti (ya mwanamume au mwanamke), hawaendi tu kuzika makaburini.
Kutokwenda makaburini kuzika isikupe tabu. Kukatazwa wanawake kufanya jambo fulani wala sio ajabu. Hili hata kwa wanaume, kuna mambo wanakatazwa ila wanawake wanaruhusiwa. Mfano ni haramu mwanaume kuvaa dhahabu (hapa duniani) ila ni halali kwa wanawake, ni haramu wanaume kuvaa hariri (hapa duniani) ila ni halal kwa wanawake.
Kuna mambo wanaume wanalazimishwa ila kwa wanawake wamepewa hiari, mfano ni ni LAZIMA mwanaume kuswali Swala ya Ijumaa, ila mwanamke anaweza kuswali Swala ya Ijumaa au akitaka akaswali Dhuhr nyumbani kwake badala ya Swala ya Ijumaa, hiari hiyo hajapewa mwanaume, LAZIMA kwa mwanaume (labda awe na udhuru wa kishari'ah). Ni lazima mwanaume kuswali Swala za Faradhi Msikitini katika Jamaa (isipokuwa anapokuwa na udhuru wa kishari'ah utakaomfanya asiswali Jamaa msikitini) ila sio lazima kwa mwanamke kuswali Jamaa msikitini, ila anaweza kuswali msikitini.
Na mifano mengine mingi.
Hukumu zinaweza kubadilika si kwa jinsia tu, hata mtu mmoja huyo huyo, hukmu katika mambo ya Ibadah zinaweza kubadilika kwake kulingana na hali, mfano; mtu anawajibika kuswali Swala tano za Faradhi, ila anavyoswali akiwa katika hali ya kawaida (mzima na afya) ni tofauti kidogo na atakavyoswali katika hali za dharura kama ugonjwa na safari (kuna tahfifu kapewa), hukmu zinabadilika kulingana na hali yake atakayokuwa nayo na Shari'ah ishaweka bayana katika kila hali.
Uislam sio Dini ya Usawa. Ni Dini ya UADILIFU. Hakuna usawa katika Uislam, kuna Uadilifu.
So usitake kutaka kuleta mambo ya "usawa" yaliyotokana na fikra za watu nje ya Uislam (ambazo ni uongo mtupu na uharibifu).
Tunaridhia Shari'ah kutoka kwa Mola wetu. Na tunasikia na tunatii.
Na Allah ni Mjuzi zaidi.
usiniambie hujuwi kama huyo mtu atabaki kuitwa muasi wa dini yake. dini yako imekukataza uzinifu, matusi nk na bado waumini wanazini na hakuna aliyepatwa na athari inayoonekana physically na church anaingia bila shida yoyote. ni mara ngapi umeasi sheria na miongozo ya dini yako na bado upo shwari kama ilivyozoweleka? ila bado sheria inakutambua kama muovuI nashangaza mkuu ikiwa kile wanachokatazwa Kwao wana kifanya Kwetu.
Na hakuna lolote lile linalowapata kwa kusudi la katazo la kwao,we hushangai?
Hii ni kwa mtazamo wa Allah ama mtazamo wako boss?Wewe ndie huna akili timamu, kwa kutojua kama binti akivunja unga tayari kasha kuwa mtu mzima.
Maandiko ama hadith ya Muhammed kumuoa Aisha mwenye miaka 9 unayajua ama huyajui?Wee umesomea hayo maandiko yanayosema mungu kasema msichana wa miaka 9 aolewe!?, Uliyaona au umeyasikia kutoka kwa hao waloyapitisha!?.
Asante kwa ufafanuziNaomba nikueleweshe Bro kuna dini na tamaduni ( dini ni mfumo wa maisha uishi vipi, ule vipi, uvae vipi, uamini kipi)Tamaduni ni namna jamii inavyo yakabili maisha..
Iran kuna tamaduni kama ilivyo nchi nyingine za kiarabu pia Africa tuna tamaduni tofauti na Asia au china..
Kwenye Mada kuoa mwanamke wa umri wa miaka 9.. waarabu iwe muislam au asiye muislam wanatamaduni ya kurithishana na kuoa ndani ya ukoo yan mtoto anaweza kuzaliwa leo ndani ya mwezi mmoja ukaambiwa huyu ataolewa na mtoto wa mpwa wako, unakuta binti Mpaka anakua msichana tayari anajua nani atamuoa
Neno kuoa wanavyo litafsiri sio kumuingilia au kushiriki tendo hapana... Ila ni kuwa halali ya mtu fulani kwa mantiki ya umestirika hauna sababu ya kushawishika na zinaa..
Kwa upande wa dini hiko kitu sijawahi kuona kama kipo ila ni tamaduni ya watu/jamii fulani..
SawaIla kuwazini ni sawa kuliko kuwaoa.
Elimu ni muhimu sana kwako zingatia hilo kwanzaHii ni kwa mtazamo wa Allah ama mtazamo wako boss?