Kutokana na matamshi yake, Prof. Kabudi ataondolewa Wizara ya Mambo ya Nje kama ilivyokuwa kwa Mkurugenzi wa SSRA kutokana na issue ya Kikokotoo

Kutokana na matamshi yake, Prof. Kabudi ataondolewa Wizara ya Mambo ya Nje kama ilivyokuwa kwa Mkurugenzi wa SSRA kutokana na issue ya Kikokotoo

Kama ambavyo yule mama aliekuwa Mkurugenzi wa SSRA alivyoendolewa katika nafasi yake kutokana na issue ya kikokotoo, ndivyo hivyo Waziri wa Mambo ya Nje, Prof. Kabudi atavyoweza kuondolewa kwenye hiyo wizara kutokana na matamshi yake juu ya wabunge wa Bunge la Ulaya.

Kama ambavyo sitaki kuamini yule mama aliekuwa boss wa SSRA alifanya maamuzi yale bila baraka za wakubwa, ndivyo ambavyo sitakuwa tayari kuamini Prof. Kabudi kaongea aliyoyaongea bila baraka za wakubwa wake, ila kama alivyopigwa chini yule mama, ndivyo ambavyo hata Prof. Kabudi nae anaweza kupigwa chini.

Kwa sasa ninahakika mzee Baba atakuwa anasoma upepo na akiona unavuma vibaya, basi ni swala la muda tu kabla hatujaona Msigwa akija na Press release ya mtu kutenguliwa ingawa bado anaweza kupewa wizara nyingine baraza kamili litapotangazwa.

Hata hivyo, kwa siku hizi za mwanzo, msishangae Mzee Baba nae akaja na kauli kama za msaidizi wake, ila moto ukiwaka, atageuka na ataanza kwa kumtoa huyo msaidizi wake katika hiyo nafasi.

Kwahiyo hapa tutegemee scenario mbili: moja ni Kabudi kuondolewa kulingana na upepo utavyovuma, na scenario ya pili ni boss wake kuja kupigilia msumari matamshi ya Kabudi na baadae kugeuka na kuchukua hatua ikiwa ni pamoja na kumuondoa Kabudi iwapo bwana wakubwa hawa watakuja juu kwani yeye mwenyewe hawezi kujiindoa. Ni swala la muda tu kabla haya hayajatimia.

Yakitokea, hawa MATAGA ambao leo hii wanamshangilia Kabudi, ndio watakuwa wa kwanza kumpongeza Mzee Baba na kuanza kamponda Kabudi.

Kabla sijamaliza, naomba niwape na scenario ya tatu: Kabla jua halijazama, Kabudi anaweza kujitokeza hadharani na kusema amenukuluwa vibaya ingawa hii haitamsaidia litapokuja swala la kutolewa mbuzi wa kafara.

Time will tell.
Profeselii wa Oljino comedy Kibabu kabudi kilijikuta kimeropoka tu pasipo kujijua baada ya laana ya watanzania walioporwa kura zao kumnasa vyema, usije kushangaa anakanusha yote aliyoropoka maana huyo babu haba Aibu na huwa hajali watanzania wanamchukulia vipi
 
Uchwara ni CCM ambao wameulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani huku kutwa kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji mateso kuwapiga risasi wapinzani, Kabudi siyo mtaalam bingwa ni profeselii mjinga mjinga aliyookotwa majalalani ndiyo maana kajitoa fahamu karopoka ujinga kifala fala pasipo kutafakari kabla
Kama kuna anayedhani yuko juu ya sheria na anataka Uhuru usio na mipaka au Haki bila yeye mwenyewe kuwajibika, Tanzania kwake itakuwa chungu.

Kelele za mitandaoni au kwenye vyombo vya habari, kutafuta huruma, ni mchezo wa kitoto.
 
Ingekuwa "ukitajwa" tu kwenye skendo fulani ndiyo imekuwa, basi kila mtu angekuwa na JINAI. Punguza dalili za kukosa weledi.
Kabudi naye ni mwizi aliingia huko akiwa mchovu masikini lakini sasa ni Tajiri Mkubwa mno alianza kuipiga pesa ya mkulima wa kizungu mikataba mipya ya madini ni percent kwenye ununuzi Ndege na michango mingi ya kimataifa sasa mtukufu humpa mgao wake ili awe anajitoa fahamu kutetea upumbavu wote wa Serikali ya CCM kwa njia haramu za kishetani
 
Huyo prof asiyeweza kujieleza kwa kutukana wahisani na kushindwa kujibu hoja, hao hao wapuuzi anaowaita then wanaenda kuomba msaada ka si ukichaa nini?
Warudishe hela za corona walizotumia matumizi yasiyo sahihi
FYI: Utakuwa unajitegemea bomu ukidhani hao mapebari na mabeberu ni wahisani. Hao ni exploitaters kama ukoloni. Nothing more, nothing less! Halafu lugha aliyoitumia Profesa imezidi katika diplomasia. Alipaswa kuwa aggressive zaidi ya hapo. Sasa hivi tunawakabili na kuwamudu hao wafadhili wenu. Wana mihasira hatukwenda kujikomba kwao pesa za uchaguzi. Na huo ni mwanzo tu! Kuhusu korona, Tanzania hatuna hilo gonjwa kwa hiyo wasitusingizie visivyokuwepo!
 
Ingekuwa "ukitajwa" tu kwenye skendo fulani ndiyo imekuwa, basi kila mtu angekuwa na JINAI. Punguza dalili za kukosa weledi.
Unaelewa kuwa kwa nchi iliyostaarabika tuhuma peke yake huwa inamfanya mtu anajiuzulu nafasi aliyoshikilia,achilia mbali huwa wanapaswa kuachia nafasi hizo pengine ili kupisha uchunguzi ufanyike bila ya kikwazo?
 
Kabudi naye ni mwizi aliingia huko akiwa mchovu masikini lakini sasa ni Tajiri Mkubwa mno alianza kuipiga pesa ya mkulima wa kizungu mikataba mipya ya madini ni percent kwenye ununuzi Ndege na michango mingi ya kimataifa sasa mtukufu humpa mgao wake ili awe anajitoa fahamu kutetea upumbavu wote wa Serikali ya CCM kwa njia haramu za kishetani
Naona umeamkia kusikojulikana leo, unaropoka utadhani siku yako ya kuishi duniani
 
Wewe ni mshamba sana. Umetoka kijiji gani nikuulize?
Mshamba wa Nchi huwa ni kabudi aliyekiri kuokotwa majalalani kabla ya kuzawadiwa uwaziri ambao umempagawawisha kaota mapembe anajiropokea tu kama mvuta Bangi
 
Uchwara ni CCM ambao wameulawiti kuubaka kuunajisi uchaguzi mkuu kwa njia haramu za kishetani huku kutwa kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji mateso kuwapiga risasi wapinzani, Kabudi siyo mtaalam bingwa ni profeselii mjinga mjinga aliyookotwa majalalani ndiyo maana kajitoa fahamu karopoka ujinga kifala fala pasipo kutafakari kabla
Mtu yeyote atakuwa hamnazo kusikiliza wazo lolote kutoka kwa mdudu minyoo
 
Prof Kabudi ni mtaalamu na bingwa, asiye na mfano katika Taifa hili, kuhusu masuala uliyoyataja. Hivyo basi Mkuu Salary Slip utaomba dua sana na kusubiri zijibiwe bila mafanikio.

Labda umesahau mapema tu, kwamba ulijiaminishi hao viongozi wako, wanasiasa uchwara kwa kuwa hawakusoma nyakati, watashinda katika Uchaguzi Mkuu, matokeo yake wakashindwa vibaya.
Mtaalamu bingwa wa kuendekeza Tumbo na njaa
 
Naona umeamkia kusikojulikana leo, unaropoka utadhani siku yako ya kuishi duniani
Wewe ni mnufaika wa ufedhuri wa CCM huwezi kuguswa na ujinga wa profeselii wa Olijino comedy Kabudi utaishia kuropoka chochote ili mradi uonekane umemtetea mitandaoni upate uteuzi kama zawadi ya kutetea uonevu uovu mateso ya CCM kwa wapinzani.
 
Unaelewa kuwa kwa nchi iliyostaarabika tuhuma peke yake huwa inamfanya mtu anajiuzulu nafasi aliyoshikilia,achilia mbali huwa wanapaswa kuachia nafasi hizo pengine ili kupisha uchunguzi ufanyike bila ya kikwazo?
Nimeshangaa sana kwamba mnatambua Profesa Kabudi kama waziri wa serikali halali ya JPM! Lini mmebadilisha gia??? Halafu ropokeni tena kwamba uchaguzi haukuwa sijui nini!
 
Wewe ni mnufaika wa ufedhuri wa CCM huwezi kuguswa na ujinga wa profeselii wa Olijino comedy Kabudi utaishia kuropoka chochote ili mradi uonekane umemtetea mitandaoni upate uteuzi kama zawadi ya kutetea uonevu uovu mateso ya CCM kwa wapinzani.
Mateso upinzani mnajitakia wenyewe kwa midomo yenu ya uzushi na uongo na nia mbaya ya kutamani machafuko na mauaji ya Watanzania!
 
Mtaalamu bingwa wa kuendekeza Tumbo na njaa
Profeselii wa Olijino comedy kabudi huonda ndiyo waziri wa mambo ya nje anayeongoza kwa kujipendekeza kwa mtukufu kuliko waziri yeyote akifuatiwa kwa mbali na mwingulu Nchemba, hii Tabia mbovu ya kuendekeza njaa kujitoa fahamu kwa makusudi tusipoikemea mapema itaota mabawa na kuja kuiathiri Nchi kiuchumi na kuwa kama Zimbabwe.
 
Yale Maneno ya Kabudi ni ya Jiwe
Kabudi ni Speaker tu
Mtukufu huwa anawatuma waropoke ili kikinuka awatoe kafara kwa kuwaruka kuwa hajui alipoyatoa ili yeye ajikoshe kwa wafadhili wahisani
 
Prof Kabudi ni mtaalamu na bingwa, asiye na mfano katika Taifa hili, kuhusu masuala uliyoyataja. Hivyo basi Mkuu Salary Slip utaomba dua sana na kusubiri zijibiwe bila mafanikio.

Labda umesahau mapema tu, kwamba ulijiaminishi hao viongozi wako, wanasiasa uchwara kwa kuwa hawakusoma nyakati, watashinda katika Uchaguzi Mkuu, matokeo yake wakashindwa vibaya.
Bingwa anasema ameokotwa jalalani? Yaani you don't even value yourself? Really??
 
FYI: Utakuwa unajitegemea bomu ukidhani hao mapebari na mabeberu ni wahisani. Hao ni exploitaters kama ukoloni. Nothing more, nothing less! Halafu lugha aliyoitumia Profesa imezidi katika diplomasia. Alipaswa kuwa aggressive zaidi ya hapo. Sasa hivi tunawakabili na kuwamudu hao wafadhili wenu. Wana mihasira hatukwenda kujikomba kwao pesa za uchaguzi. Na huo ni mwanzo tu! Kuhusu korona, Tanzania hatuna hilo gonjwa kwa hiyo wasitusingizie visivyokuwepo!
Yani hapa unapondea mabeberu then unaanza kulia Lia ukiulizwa matumizi ya hela yao unaanza kuwatukana, mabeberu hao hao ndo wanatengeneza vitu unavyotumia kuanzia technology na kila kitu hata ndege mnazojisifia mumenunua kwao, so mabeberu ni Kama maji usipoyaoga utayanywa. Tuache kibri Cha kijinga kwa watu waliotuzidi akili kila kitu Hadi dhambi
 
Back
Top Bottom