Kutokana na tabia zako mbaya, jitambulishe wewe ni nani?

Bora unywe soda ieleweke kuliko tubia tuwili
 
Reactions: rr4
Pombe hitimisho lake ni mbususu tu
 
[emoji3][emoji3][emoji3]kama ulozi ni tabia mbaya basi umenishinda kabisa kuacha
Haha hahaha hahaha usiache, uboreshe utapiga sana hela.
Chukua ungo wako wa kubeba abiria 65, nenda stand ya Mbezi, ita abiria Arusha elfu tano tano unafika ndani ya dakika tatu.
Utapata vichwa Ni balaa, utatengeneza sana hela.
Achana na ule uchawi wa kuwapaka mayai viza waliokuzidi mafanikio.
Haha hahaha haha
 
Tatizo la hao abiria wengine ni wazee wa busara
 
Napenda kwenda kwenye wauza k na kuchagua kazigo kale nafsi inataka kutafuna kwa mlo wa siku hiyo, kwa zana maalumu,usiende huku ukiwa umepata kilevi utaangamia.
#Iga_ufe.
Naichukia tabia yangu ya kuona kasoro na vitu vibaya tu kwa wenzangu, hata wakiwa na mazuri 100,000,000,000/ najikuta nayaona mabaya tuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…