Kutokana na tabia zako mbaya, jitambulishe wewe ni nani?

Kutokana na tabia zako mbaya, jitambulishe wewe ni nani?

[emoji3064][emoji3064][emoji3064]
giphy.gif
Una maktaba kubwa sana ya picha
 
Hamna mtu asiye na tabia mbaya, wote tunazo, za kurithi, za kujifunza na za kuiga.

Kila mtu anayejijua vyema, huwezi ukawa mwizi halafu usijijue.

Huwezi ukawa kicheche halafu useme eti hujui.

Sasa hapa tujuane kwa tabia zetu mbaya.

Binafsi:-
Siwezi kunywa bia mbili halafu niseme nimetosheka, nakunywa hadi niwe nduki.
Baada ya hapo lazima nitoke na totoz, na mara kadhaa nimejikuta nabeba mijitu ya ajabu sana.

Bujibuji
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji2]
 
Kujiahidi kuacha mtungi ila ikishafika mida kama hii kooni panavyofanya daaah na asubuhi lazima nianze kujuta🤪🤪🤪🤪
 
Back
Top Bottom