Pre GE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
sasa wewe na mihemko yako tangu lini walinzi wa amani wanateka watu kwa mfano?🐒

Zingatia maelezo ya kwenye hoja ya msingi ndiko kwenye mnyororo haswaaa wa haya yote,
ni vizuri kujiridhisha kwa uchunguzi, na hatimae mihemko itakukishwa 🐒
Kama nia yako ni njema ya kuchunguza usingewaacha Ccm na vyombo vyake vya Serikali vinavyoshutumiwa kuteka na kuua watu ovyo.
 
Na wewe unajifanya kuleta ujinga tu.

Kwahiyo kama chadema ndio wanaofanya hivyo mbona wakihitaji uchunguzi ufanyike na wahusika washitakiwe mbona serikali haifanyi hivyo au wanawaogopa chadema.
 
Kama nia yako ni njema ya kuchunguza usingewaacha Ccm na vyombo vyake vya Serikali vinavyoshutumiwa kuteka na kuua watu ovyo.
uchunguzi ni jambo pana mno, linaweza kwenda zaidi ya vyombo unavyovotaja na unaweza kwenda hadi nchi za nje...

R.I.P kamanda Ally Mohamed Kibao 🤭
 
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.

Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.

Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.

Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?

Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania.

Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Ndiyo maana Tulia akakataa bunge kulijadili? Ndiyo maana yule wa Kagera akawataka Polisi kutowatafuta wakiwapoteza? Ndiyo maana Polisi wakawavamia na kuwakamata kule Mbeya? Ndiyo maana wakina Soka wakapotezwa na Polisi? Ndiyo maana yule mwingine akapelekwa Garage ya Polisi pale oyestrbay?

Mbona evidence zote zinawarudieni mlipo?
 
Ndiyo maana Tulia akakayaa bunge kkulijadili? Ndiyo maana yule wa Kagera akawataka Polisi kutowatafuta wakiwapoteza? Ndiyo maana Polisi wakawavamia na kuwakamata kule Mbeya? Ndiyo maana wakina Soka wakapotezwa na Polisi? Ndiyo maana yule mwingine akapelekwa Garage ya Polisi pale oyestrbay?

Mbona evidence zote zinawarudieni mlipo?
unaogopa mapendekezo yangu au kunakataa mapendekezo yangu?

hofu inatoka wap mathalani?🐒

R.I.P kamanda Ally Kibao
 
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.

Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.

Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.

Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?

Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania.

Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Wapinzani hawajielewi, waalifu wapo kila pahala, wasilaumu vyombo vya dola ambavyo ndio vinawalinda.
 
actually,
nimetoa mapendekezo yangu mujarabu mchana kweupe,

nadhani kuna haja ya kujiridhisha katika hilo na tusonge mbele..
hii ya kulaumiana nadhani haisaidii chochote..

na muhimu zaidi,
likitokea tatizo la kihalifu ni muhimu kutoa taarifa kwenye vyombo husika..

hii ya kuripoti kwenye chama tu, na kutoa taarifa mitandaoni haitasaidia hata kidogo. kujipa umuhimu na jukumu wasilo liweza la ulinzi haina maana yoyote 🐒

R.I.P kamanda Ally Kibao
 
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.

Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.

Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.

Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?

Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania.

Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Kuna siku utatekwa kisha ukatwe kisimi ndiyo utatia akili
 
Kada naona unapambana.
sipambani hata kidogo,
najaribu kueleza ukweli kitaalamu nje ya box na nikuhakikishie tu, pole pole nitaeleweka tu...

najiuliza sana,
hivi Mzee mpole kama yule anaweza kua tishio nje ya chama chake kweli?

kwasabb huko ndiko anakojulika na kujuana na wenzie nguvu na udhaifu wake, lakini pia influence yake katika uchaguzi unaoendelea kanda ya Pwani na Taifa 🐒
 
Back
Top Bottom