mangiTz
JF-Expert Member
- Jul 28, 2019
- 1,820
- 3,062
+ Tamko la DC wa longido & matamshi ya nape bado mtu anahitaji ushahidi gani? Akili tumepewa za nini?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
+ Tamko la DC wa longido & matamshi ya nape bado mtu anahitaji ushahidi gani? Akili tumepewa za nini?
Kama nia yako ni njema ya kuchunguza usingewaacha Ccm na vyombo vyake vya Serikali vinavyoshutumiwa kuteka na kuua watu ovyo.sasa wewe na mihemko yako tangu lini walinzi wa amani wanateka watu kwa mfano?🐒
Zingatia maelezo ya kwenye hoja ya msingi ndiko kwenye mnyororo haswaaa wa haya yote,
ni vizuri kujiridhisha kwa uchunguzi, na hatimae mihemko itakukishwa 🐒
uchunguzi ni jambo pana mno, linaweza kwenda zaidi ya vyombo unavyovotaja na unaweza kwenda hadi nchi za nje...Kama nia yako ni njema ya kuchunguza usingewaacha Ccm na vyombo vyake vya Serikali vinavyoshutumiwa kuteka na kuua watu ovyo.
Acheni unaa nyie viumbe.pamoja comrade, 👊 👊
R.I.P.kamanda Ally Mohamed Kibao
Ndiyo maana Tulia akakataa bunge kulijadili? Ndiyo maana yule wa Kagera akawataka Polisi kutowatafuta wakiwapoteza? Ndiyo maana Polisi wakawavamia na kuwakamata kule Mbeya? Ndiyo maana wakina Soka wakapotezwa na Polisi? Ndiyo maana yule mwingine akapelekwa Garage ya Polisi pale oyestrbay?Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.
Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.
Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?
Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.
Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?
Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza.
Mungu Ibariki Tanzania.
Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Ndio.Dozi imekuingia
Jinga hilo, achana nalo. Kila mara huposti ujinga.Ipo siku baba Yako au mtoto wako atatekwa na ndiyo siku utakayoanza kutumia vizuri akili yako
unaogopa mapendekezo yangu au kunakataa mapendekezo yangu?Ndiyo maana Tulia akakayaa bunge kkulijadili? Ndiyo maana yule wa Kagera akawataka Polisi kutowatafuta wakiwapoteza? Ndiyo maana Polisi wakawavamia na kuwakamata kule Mbeya? Ndiyo maana wakina Soka wakapotezwa na Polisi? Ndiyo maana yule mwingine akapelekwa Garage ya Polisi pale oyestrbay?
Mbona evidence zote zinawarudieni mlipo?
Wapinzani hawajielewi, waalifu wapo kila pahala, wasilaumu vyombo vya dola ambavyo ndio vinawalinda.Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.
Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.
Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?
Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.
Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?
Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza.
Mungu Ibariki Tanzania.
Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
actually,Wapinzani hawajielewi, waalifu wapo kila pahala, wasilaumu vyombo vya dola ambavyo ndio vinawalinda.
You are queued!mwerevu ndio yuko full mihemko na hana hoja dah?🐒
R.I.P kamanda Ally Kibao
Kada naona unapambana.maskini dah!🐒
R.I.P.kamanda Ally Kibao
Kuna siku utatekwa kisha ukatwe kisimi ndiyo utatia akiliSi bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.
Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.
Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?
Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.
Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?
Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza.
Mungu Ibariki Tanzania.
Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
sipambani hata kidogo,Kada naona unapambana.