Pre GE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama nia yako ni njema ya kuchunguza usingewaacha Ccm na vyombo vyake vya Serikali vinavyoshutumiwa kuteka na kuua watu ovyo.
 
Na wewe unajifanya kuleta ujinga tu.

Kwahiyo kama chadema ndio wanaofanya hivyo mbona wakihitaji uchunguzi ufanyike na wahusika washitakiwe mbona serikali haifanyi hivyo au wanawaogopa chadema.
 
Kama nia yako ni njema ya kuchunguza usingewaacha Ccm na vyombo vyake vya Serikali vinavyoshutumiwa kuteka na kuua watu ovyo.
uchunguzi ni jambo pana mno, linaweza kwenda zaidi ya vyombo unavyovotaja na unaweza kwenda hadi nchi za nje...

R.I.P kamanda Ally Mohamed Kibao 🀭
 
Ndiyo maana Tulia akakataa bunge kulijadili? Ndiyo maana yule wa Kagera akawataka Polisi kutowatafuta wakiwapoteza? Ndiyo maana Polisi wakawavamia na kuwakamata kule Mbeya? Ndiyo maana wakina Soka wakapotezwa na Polisi? Ndiyo maana yule mwingine akapelekwa Garage ya Polisi pale oyestrbay?

Mbona evidence zote zinawarudieni mlipo?
 
unaogopa mapendekezo yangu au kunakataa mapendekezo yangu?

hofu inatoka wap mathalani?πŸ’

R.I.P kamanda Ally Kibao
 
Wapinzani hawajielewi, waalifu wapo kila pahala, wasilaumu vyombo vya dola ambavyo ndio vinawalinda.
 
Wapinzani hawajielewi, waalifu wapo kila pahala, wasilaumu vyombo vya dola ambavyo ndio vinawalinda.
actually,
nimetoa mapendekezo yangu mujarabu mchana kweupe,

nadhani kuna haja ya kujiridhisha katika hilo na tusonge mbele..
hii ya kulaumiana nadhani haisaidii chochote..

na muhimu zaidi,
likitokea tatizo la kihalifu ni muhimu kutoa taarifa kwenye vyombo husika..

hii ya kuripoti kwenye chama tu, na kutoa taarifa mitandaoni haitasaidia hata kidogo. kujipa umuhimu na jukumu wasilo liweza la ulinzi haina maana yoyote πŸ’

R.I.P kamanda Ally Kibao
 
Kuna siku utatekwa kisha ukatwe kisimi ndiyo utatia akili
 
Kada naona unapambana.
sipambani hata kidogo,
najaribu kueleza ukweli kitaalamu nje ya box na nikuhakikishie tu, pole pole nitaeleweka tu...

najiuliza sana,
hivi Mzee mpole kama yule anaweza kua tishio nje ya chama chake kweli?

kwasabb huko ndiko anakojulika na kujuana na wenzie nguvu na udhaifu wake, lakini pia influence yake katika uchaguzi unaoendelea kanda ya Pwani na Taifa πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…