Pre GE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani yaani hii imeisha halibiwa na ccm kwa kiwango kibaya sana. Yaani mtu mwenye akili ya kujuwa kusoma na kuandika anaandika ujinga kama huu. Kwahiyo chadema wanauwezo wa kusimamisha basi barabarani na kufunga mtu pingu na kuondoka naye na kwenda kumuuwa bila hata polisi kujuwa. Basi hatuna polisi wala serikali
 
mbona muerevu una mbwelambwela na mihemko tu na huelezi kinagaubaga,

kwamba alipofungwa pingu mkaelekea nae wapi? na mkamtendea nini? na mwishowe mnakuja kutoa taarifa za kifo tu? kulikoni?

why mnaripoti mwanzo na mwisho wa tukio tu, halafu mnakua wakali sana mkiulizwa kueleza katikati ya tukio?
 
Hivi kwa akili yako unaona hiyo inaweza kuwa ni kazi ya mtu moja. Nyie PAKA wa LUMUMBA (CHAWA) mna matatizo ya akili!
 
Hivi kwa akili yako unaona hiyo inaweza kuwa ni kazi ya mtu moja. Nyie PAKA wa LUMUMBA (CHAWA) mna matatizo ya akili!
kwani mlikua wangapi gentleman,

relax tu na upunguze ukali elezea wadau kwa utulivu....

inaweza kua wangapi kwa mfano?
 
Ili kuondoa hiyo hali basi, vitumike vyombo vya kimataifa kati ya hivi kimojawapo
1. Scotland Yard, M16, CIA.
Lkn kwa haw watu wetu Twish na watu wa Wambura hawafai,
Ili ijulikane ni akina kati ya chadema, ccm, serikali na vyombo vyake au nani?
 
kwani mlikua wangapi gentleman,

relax tu na upunguze ukali elezea wadau kwa utulivu....

inaweza kua wangapi kwa mfano?

Ni kazi inaratibiwa Lumumba ..... now ni common knowledge. Na kumbe aliyemlipua ni Msigwa .... eti ndiye strategists wa CDM.
 
Ili kuondoa hiyo hali basi, vitumike vyombo vya kimataifa kati ya hivi kimojawapo
1. Scotland Yard, M16, CIA.
Lkn kwa haw watu wetu Twish na watu wa Wambura hawafai,
Ili ijulikane ni akina kati ya chadema, ccm, serikali na vyombo vyake au nani?
hivyo ndivyo watu wa haki hushauriana na kujadiliana kufikia muafaka wenye kumuondolea shaka kila mwenye wasiwasi wasi...

hisia, huruma, mihemko, ghadhabu au ukali kila mwanadamu anavyo, ila sasa vya nini kwenye jambo gumu na la uchungu kama hili?
 
Ni kazi inaratibiwa Lumumba ..... now ni common knowledge. Na kumbe aliyemlipua ni Msigwa .... eti ndiye strategists wa CDM.
na kama mlikua wote hao na unaficha na kunyamazia ukweli huo, badala ya kushirikiana na vyombo vya kiuchunguzi..

kumbuka maswala ya haki ya mtu tena ya kuishi yanahitaji utu na ukweli pekee, sio hiyo commom knowledge unayotamba nayo...

ukificha ukweli kwenye sio kwamba wewe ni mjanja sana, kwa wakati wako muafaja utaulizwa mbele ya haki kwa Mungu siku ya mwisho
 
Jitahidi kuspin ... It wont work Bro.

Damu ya huyu Mzee inawasumbua ....!!
 
Jitahidi kuspin ... It wont work Bro.

Damu ya huyu Mzee inawasumbua ....!!
ng"ang"ana vizuri na common knowledge yako upinga ukweli dhidi ya uhai wa mwanadamu uendele kwa bidii kusaidia kudhulumu haki na stahiki za kamanda Ally Kibao jwa hisia potofu na huruma ya kinafiki...

siku ya mwisho mbele ya haki utawajibika tu
 
TEAM YENU HIYO IPO KAZINI.
 
Hujitambui, karma huwa inachapa na wanaoongea utumbo huku wakijua ukweli.
 
Hujitambui, karma huwa inachapa na wanaoongea utumbo huku wakijua ukweli.
sasa mbona unae jitambua una mihemko tu,

na hata huongei maini ya ng"ombe huku ukibainisha ukweli?

hiyo si nonsense na useless sense kabisa gentleman?
 
Unatia aibu ukiwa msikiti gani?
 
Kama una hakika Samia na Serikali yake hawahusiki katika hili, waambie waunde TUME HURU YA KIJAJI. Nakuhakikishia zitapigwa danadana za kutosha kukwepa uchunguzi huru.
 
Kama una hakika Samia na Serikali yake hawahusiki katika hili, waambie waunde TUME HURU YA KIJAJI. Nakuhakikishia zitapigwa danadana za kutosha kukwepa uchunguzi huru.
hayo ni mapendekezo ya ziada muhimu sana na tofauti na yangu ambayo pia ni muhumu...

si vibaya hilo nalo likazingatiwa licha ya kwamba tayari umeonyesha dalili za mashaka na imani potofu,

na kwajivyo hivyo,
wazo na pendekezo langu linabaki kua hai zaidi la muhimu na lenye nguvu zaid
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…