Pre GE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama una hakika Samia na Serikali yake hawahusiki katika hili, waambie waunde TUME HURU YA KIJAJI. Nakuhakikishia zitapigwa danadana za kutosha kukwepa uchunguzi huru.
ni kumwachia tu Mungu, waunde tume huru ya kijaji, majaji walioteuliwa na nani?
 
Short minded
 
Haiwezekani katibu wa CHADEMA atangaze Leo mtu kapotea kesho yake apatikane amefariki.

Kuna kitu kinaendelea ndani ya CHADEMA si bure.

Nashauru serikali ikichunguze hiki chama.
 
Haiwezekani katibu wa CHADEMA atangaze Leo mtu kapotea kesho yake apatikane amefariki.

Kuna kitu kinaendelea ndani ya CHADEMA si bure.

Nashauru serikali ikichunguze hiki chama.

Kuna siku litafika Kwa mtu wako wa karibu ndio utaelewa madhara ya hii kauli yako
 
Damu za watu mnaoua zimeshaanza kuwafanya vichaa!! Mmelaaniwa nyie na vizazi vyenu!! Mnahisi kama vile mpo salama sana, lakini familia za watu wanaolia wakati nyie mnachekelea na kukebehi mkiujua ukweli wote, Mungu hadhahakiwi, anaijua mioyo ya wanadamu vyema. Mtalipwa wote sawa sawa na dhihaka zenu!!

Nchi inanuka damu za watu na nyie mnadhihaki badala ya kukemea uovu!! Mtalipwa sawa na matendo yenu!
 
Your father angevaa condom during intercourse kuliko kuleta hii wanker duniani
 
Haiwezekani katibu wa CHADEMA atangaze Leo mtu kapotea kesho yake apatikane amefariki.

Kuna kitu kinaendelea ndani ya CHADEMA si bure.

Nashauru serikali ikichunguze hiki chama.
Ccm isingekuwa inahusika ingeshafanya uchunguzi wa kina na waharifu kupatikana mapema tu
 
Unapandisha hasira kwa kweli.

Ikumbukwe Wa akiwamaliza Chadema watahamia kwa CCM kama ilivyokua kule Mkifanya . Mwishowe wakahamia kuua polisi.

Siku zote serikali zinazotegemewa rushwa na wizi hua zinaua Watu kuwatia watu hofu ili zisihojiwe.

Na ni wazi kuwa kuna CCM inawaogopa sana wetu wa Tanga kuingia Chadema .

Acheni siasa za kumwaga damu
Hivi hauoni hata pale Hospitalini mlikua hamtaki Ndugu wa marehemu waingie na mawakili . Mnataka kuficha nini kama hamuhusiki.

Imeambiwa kuwa abiria ndio waliotoa taarifa zikamfikia lnyika na yeye akatangaza halafu unasema Chadema wanahusika.

Serikali zote zilizofanya mnayofanya CCM zilianguka .

JPM hakufikia mlipofikia mana yeye alikua mzalendo wa kulinda mali za umma .
Mnatia hasara na kulinda maslahi ya mafisadi
 
Haiwezekani katibu wa CHADEMA atangaze Leo mtu kapotea kesho yake apatikane amefariki.

Kuna kitu kinaendelea ndani ya CHADEMA si bure.

Nashauru serikali ikichunguze hiki chama.
sina hakika kama uko sawa,,Mzee Kibao ndio alikuwa Master Mind and Chief Planning wa Chadema,sasa wamteke na kumuua engine ya chama tena kipindi iki?nazani wewe utakuwa ccm
 
One condom could have saved all this !
 
Vipi Uzi wako umeenda wapi Kada ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…