Pre GE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Pre GE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Kama una hakika Samia na Serikali yake hawahusiki katika hili, waambie waunde TUME HURU YA KIJAJI. Nakuhakikishia zitapigwa danadana za kutosha kukwepa uchunguzi huru.
ni kumwachia tu Mungu, waunde tume huru ya kijaji, majaji walioteuliwa na nani?
 
ALLY MOHAMED KIBAO KANIKUMBUSHA YA CHACHA WANGWE NA DEUS MALLYA

Julai 27 mwaka 2008 kada wa CHADEMA Chacha Wangwe alifariki kwenye ajali Dodoma. Wengi akiwemo mkewe wanaamini ajali ile ina mkono wa watu ndani ya CHADEMA akiwemo kijana Deus Mallya mtumishi wa Freeman Mbowe. Nimekumbuka hili leo baada ya taarifa za kada mwingine Ally Mohammed Kibao kufikwa na umauti kwenye mazingira tata.

Kwa miaka sasa kumekuwa na tuhuma lukuki za kutekana ndani ya CHADEMA huku chama hicho kikiendeshwa kama kampuni ya familia chini ya Mbowe ambaye amekipokea toka kwa mwanzilishi wake na pia baba mkwe wake Edwin Mtei. Katibu Mkuu wa zamani Dk Slaa ameziandika tuhuma lukuki za umafia ndani ya chama hicho kwenye kitabu chake cha CHADEMA iliyosalitiwa. Je lini Jeshi la Polisi litahoji na kuchunguza tuhuma hizi?

Polisi na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama msipochunguza kutekana na kupotezana wenyewe kwa wenyewe ndani ya CHADEMA basi mjue tuhuma wataelekeza kwenu. Kwa kufanya hivyo wanakuwa wameua ndege wawili kwa jiwe moja; kwanza wanakuwa wamefanikiwa na kazi ya kujenga chuki kwa vyombo vya ulinzi na usalama na pili wanakuwa wamemalizana wenyewe humo ndani ya chama chao kwa maslahi wanayogombania. Mfano kuna dada juzi analalamika kwenye mtandao kwamba kaporwa ushindi ili mdogo wake Mbowe aingie kwenye Halmashauri Kuu ya CHADEMA badala yake. Huyu Polisi mmefuatilia? Maana katishiwa maisha pia. Chunguzeni mwenendo wa haya matukio ndani ya CHADEMA kabla hamjalaumiwa ninyi yatakapotea ya kutokea.

Swali la mwisho kwa leo, hivi kwanini huku kutekana na kupotea kwa makada wa CHADEMA hakuna mtu kutoka mikoa yenye waasisi wa chama hicho (Arusha na Kilimanjaro) mpaka sasa?

Short minded
 
Haiwezekani katibu wa CHADEMA atangaze Leo mtu kapotea kesho yake apatikane amefariki.

Kuna kitu kinaendelea ndani ya CHADEMA si bure.

Nashauru serikali ikichunguze hiki chama.
 
Haiwezekani katibu wa CHADEMA atangaze Leo mtu kapotea kesho yake apatikane amefariki.

Kuna kitu kinaendelea ndani ya CHADEMA si bure.

Nashauru serikali ikichunguze hiki chama.

Kuna siku litafika Kwa mtu wako wa karibu ndio utaelewa madhara ya hii kauli yako
 
Damu za watu mnaoua zimeshaanza kuwafanya vichaa!! Mmelaaniwa nyie na vizazi vyenu!! Mnahisi kama vile mpo salama sana, lakini familia za watu wanaolia wakati nyie mnachekelea na kukebehi mkiujua ukweli wote, Mungu hadhahakiwi, anaijua mioyo ya wanadamu vyema. Mtalipwa wote sawa sawa na dhihaka zenu!!

Nchi inanuka damu za watu na nyie mnadhihaki badala ya kukemea uovu!! Mtalipwa sawa na matendo yenu!
 
Your father angevaa condom during intercourse kuliko kuleta hii wanker duniani
 
Haiwezekani katibu wa CHADEMA atangaze Leo mtu kapotea kesho yake apatikane amefariki.

Kuna kitu kinaendelea ndani ya CHADEMA si bure.

Nashauru serikali ikichunguze hiki chama.
Ccm isingekuwa inahusika ingeshafanya uchunguzi wa kina na waharifu kupatikana mapema tu
 
Damu za watu mnaua zimeshaanza kuwafanya vichaa!! Mmelaaniwa nyie na vizazi vyenu!! Mnahisi kama vile mpo salama sana, lakini familia za watu wanaolia wakati nyie mnachekelea na kukebehi mkiujua ukweli wote, Mungu hadhahakiwi, anaijua mioyo ya wanadamu vyema. Mtalapwa wote sawa sawa na dhihaka zenu!!

Nchi inanuka damu za watu na nyie mnadhihaki badala ya kukemea uovu!! Mtalipwa sawa na matendo yenu!

Unapandisha hasira kwa kweli.

Ikumbukwe Wa akiwamaliza Chadema watahamia kwa CCM kama ilivyokua kule Mkifanya . Mwishowe wakahamia kuua polisi.

Siku zote serikali zinazotegemewa rushwa na wizi hua zinaua Watu kuwatia watu hofu ili zisihojiwe.

Na ni wazi kuwa kuna CCM inawaogopa sana wetu wa Tanga kuingia Chadema .

Acheni siasa za kumwaga damu
Hivi hauoni hata pale Hospitalini mlikua hamtaki Ndugu wa marehemu waingie na mawakili . Mnataka kuficha nini kama hamuhusiki.

Imeambiwa kuwa abiria ndio waliotoa taarifa zikamfikia lnyika na yeye akatangaza halafu unasema Chadema wanahusika.

Serikali zote zilizofanya mnayofanya CCM zilianguka .

JPM hakufikia mlipofikia mana yeye alikua mzalendo wa kulinda mali za umma .
Mnatia hasara na kulinda maslahi ya mafisadi
 
Haiwezekani katibu wa CHADEMA atangaze Leo mtu kapotea kesho yake apatikane amefariki.

Kuna kitu kinaendelea ndani ya CHADEMA si bure.

Nashauru serikali ikichunguze hiki chama.
sina hakika kama uko sawa,,Mzee Kibao ndio alikuwa Master Mind and Chief Planning wa Chadema,sasa wamteke na kumuua engine ya chama tena kipindi iki?nazani wewe utakuwa ccm
 
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.

Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.

Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.

Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?

Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania.

Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
One condom could have saved all this !
 
Kuna taarifa kuwa mipango ya mauaji ya ally kibao imesukwa ndani ya CHADEMA baada ya kujua mzee huyo ni mwanajeshi mstaafu.

Inasemekana ndani ya CHADEMA mpango huo ulikuwa wa siku nyingi na walimuita aende Tanga kwa kazi ya chama kumbe ndio walikuwa wanamsuka auawe.

Kumbuka mauaji yanayopangwa na CHADEMA kwa nyakati hizi kuelekea uchaguzi ni kuzua taharuki jambo ambalo haliwezekani na jeshi la Polisi linabidi kuingilia kati kuichunguza CHADEMA .

CHADEMA ni shida sana wanauana kwa uchu wa madaraka na kusigana ndani kwa ndani, hadi uchaguzi uishe wataumizana sana!
Vipi Uzi wako umeenda wapi Kada ?
 
Back
Top Bottom