Pre GE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Wewe Tlaatlaah ndo unataka uwe mbunge kwa akili hizi☝🏻☝🏻☝🏻?

Ni kana kwamba unatumia makalio yako kufikiri na kisha kuandika...!!

Au wewe ndiye yule DC wa Longido aliyefyatuka kuhusika kwake na matukio haya.....???
 
Tuwe na huruma kwa wanaotekwa, maana anayemiliki pumzi zetu na uhai ni Mungu, anaweza kukupiga hata na maradhi tu sababu ya kukebehi watu
 

Aliyeuawa ni Mtanzania.

Tunajisifuje tuna jeshi na usalama imara unaoruhusu watu kuuana bila kuwa na clue during or after?

Mjinga mmoja anatumia bando lake kuongea kamasi kwenye serious issue.
 
Wakija kumjua Boni ni nani kwenye mfumo, watakuwa wamechelewa sana
 
Kituo gani cha polisi kinamilikiwa na CHADEMA?

Kiongozi gani wa CHADEMA anaweza kutoa maelekezo kwa IGP akayafuata?

Ungeshauri uchunguzi ufanywe kuona kama utekaji na mauaji haya hayahusishi siasa ili vyama vyote vihusishwe kwenye uchunguzi.
Inaumiza sana zaidi ya sana kuharibu nchi yenye amani iliyokuwa mfano wa kuigwa kwa nchi nyingine.
 
uvccm na polccm wanapewa kipaombele
 
Mnahangaika sana kulivua jeshi la polisi na mauaji yanayoendelea kwa wanachama wa CHADEMA. Huu mchezo ni wa wahafidhina ndani ya CCM.
 
Nadhani kuna watu wa ndani sana wa chadema wanahusika na kusuka haya mambo, wengine wamaliziaji tu
 
Wazazi wako wangetumia kondomu wangefanya jambo la maana sana
 
Ngojea siku mzaz wako auwawe tuone kama utaleta haya mataputapu🚮🚮
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…