Shindu Namwaka_
Member
- Jul 16, 2024
- 5
- 2
Mambo mengine bora tu kukaa kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe Tlaatlaah ndo unataka uwe mbunge kwa akili hizi☝🏻☝🏻☝🏻?Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.
Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.
Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?
Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.
Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?
Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza.
Mungu Ibariki Tanzania.
Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Acha upuuzi! Acha kuleta maswala ya kisiasa kwa maisha ya watu.ndiyo maana napendekeza uchunguzi wa kina ufanyike kwa ndan ya chadema, gentlrman![]()
Huyu bwege toka akatae uwaziri na kukimbilia uDC ndio nilijua kichwani hamnazo, ona alichoandikaDuh
Mchungaji umetisha 🐼
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.
Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.
Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?
Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.
Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?
Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza.
Mungu Ibariki Tanzania.
Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
uvccm na polccm wanapewa kipaombeleSi bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.
Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.
Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?
Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.
Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?
Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza.
Mungu Ibariki Tanzania.
Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Mnahangaika sana kulivua jeshi la polisi na mauaji yanayoendelea kwa wanachama wa CHADEMA. Huu mchezo ni wa wahafidhina ndani ya CCM.Kuna taarifa kuwa mipango ya mauaji ya ally kibao imesukwa ndani ya CHADEMA baada ya kujua mzee huyo ni mwanajeshi mstaafu.
Inasemekana ndani ya CHADEMA mpango huo ulikuwa wa siku nyingi na walimuita aende Tanga kwa kazi ya chama kumbe ndio walikuwa wanamsuka auawe.
Kumbuka mauaji yanayopangwa na CHADEMA kwa nyakati hizi kuelekea uchaguzi ni kuzua taharuki jambo ambalo haliwezekani na jeshi la Polisi linabidi kuingilia kati kuichunguza CHADEMA .
CHADEMA ni shida sana wanauana kwa uchu wa madaraka na kusigana ndani kwa ndani, hadi uchaguzi uishe wataumizana sana!
Ni faida mkuu, kuna kirusi ndani ya CDMmtu kama wewe ni hasara tu
Ngojea siku mzaz wako auwawe tuone kama utaleta haya mataputapu🚮🚮Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.