Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
- Thread starter
- #61
ni muhimu sana kujiuliza bila mihemko na wala ghadhabu yoyote kwasabab hiyo ni useless...Muuaji mkubwa wewe.
Aliyeuawa ni Mtanzania.
Tunajisifuje tuna jeshi na usalama imara unaoruhusu watu kuuana bila kuwa na clue during or after?
Mjinga mmoja anatumia bando lake kuongea kamasi kwenye serious issue.
Muuaji mkubwa
kwanini matukio haya yameanza wakati wa uchaguzi wa chadema tu?
na kwanini utekaji unawatokea watu wa chadema tu?
na kwanini mtoa taarifa wa chadema anatoa taarifa za mwanzo wa utekaji kwa wakati muafaka na pia kwa wakati muafaka sana anatoa taarifa za mauaji ya alie tekwa? Yeye anakua amekaa wapi kushuhudia haya yote na kuandika vizuri namna ile?
na kwanini matukio ya utekaji yanaongezeka zaidi wakati chadema inapoelekea uchaguzi wa ngazi za juu zaidi?

