Pre GE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Pre GE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Muuaji mkubwa wewe.
Aliyeuawa ni Mtanzania.

Tunajisifuje tuna jeshi na usalama imara unaoruhusu watu kuuana bila kuwa na clue during or after?

Mjinga mmoja anatumia bando lake kuongea kamasi kwenye serious issue.

Muuaji mkubwa
ni muhimu sana kujiuliza bila mihemko na wala ghadhabu yoyote kwasabab hiyo ni useless...

kwanini matukio haya yameanza wakati wa uchaguzi wa chadema tu?

na kwanini utekaji unawatokea watu wa chadema tu?

na kwanini mtoa taarifa wa chadema anatoa taarifa za mwanzo wa utekaji kwa wakati muafaka na pia kwa wakati muafaka sana anatoa taarifa za mauaji ya alie tekwa? Yeye anakua amekaa wapi kushuhudia haya yote na kuandika vizuri namna ile?

na kwanini matukio ya utekaji yanaongezeka zaidi wakati chadema inapoelekea uchaguzi wa ngazi za juu zaidi?:pulpTRAVOLTA:
 
Yaani ule usiku walioupoteza wazazi wako kukutafuta wanaujutia sana sasa hivi huko waliko.
 
Kituo gani cha polisi kinamilikiwa na CHADEMA?

Kiongozi gani wa CHADEMA anaweza kutoa maelekezo kwa IGP akayafuata?

Ungeshauri uchunguzi ufanywe kuona kama utekaji na mauaji haya hayahusishi siasa ili vyama vyote vihusishwe kwenye uchunguzi.
Inaumiza sana zaidi ya sana kuharibu nchi yenye amani iliyokuwa mfano wa kuigwa kwa nchi nyingine.

hebu cheki,

kwanini matukio haya yameanza wakati wa uchaguzi wa chadema tu?

na kwanini utekaji unawatokea watu wa chadema tu?

na kwanini mtoa taarifa wa chadema anatoa taarifa za mwanzo wa utekaji kwa wakati muafaka na pia kwa wakati muafaka sana anatoa taarifa za mauaji ya alie tekwa? Yeye anakua amekaa wapi kushuhudia haya yote na kuandika vizuri namna ile?

na kwanini matukio ya utekaji yanaongezeka zaidi wakati chadema inapoelekea uchaguzi wa ngazi za juu zaidi?
 
We Simbilisi ukikata ticket tu taarifa za safari yako zinakuwa Wazi serikalini kote 😄😄😄
next week nilikua na safari ya ughaibuni,

but nadhani naweza kuifanya mapema zaidi ndugu yangu kitimbakwiri:pedroP:
 
s
Kuna taarifa kuwa mipango ya mauaji ya ally kibao imesukwa ndani ya CHADEMA baada ya kujua mzee huyo ni mwanajeshi mstaafu.

Inasemekana ndani ya CHADEMA mpango huo ulikuwa wa siku nyingi na walimuita aende Tanga kwa kazi ya chama kumbe ndio walikuwa wanamsuka auawe.

Kumbuka mauaji yanayopangwa na CHADEMA kwa nyakati hizi kuelekea uchaguzi ni kuzua taharuki jambo ambalo haliwezekani na jeshi la Polisi linabidi kuingilia kati kuichunguza CHADEMA .

CHADEMA ni shida sana wanauana kwa uchu wa madaraka na kusigana ndani kwa ndani, hadi uchaguzi uishe wataumizana sana!
tupid
 
jitahudi kua na staha kidogo,

infact,
wanawake wenye midomo michafu kama wako kwenye mazungumzo hawanaga huruma, wala hawajiskiagi uchungu kwa chochote, ni hodari kwa kuigiza unafki wa uchungu mbele ya wengine kutu ambacho ni useless and nonsense theory za babaric ladies as you...

huna hoja, huna mawazo mapya huna fikra mbadala kaa kimya tu kwasababu mihemko haina maana yoyote kwa mwanataaluma mbobevu kama mimi Bantu Ladyright ? :pedroP:

kwanini matukio haya yameanza wakati wa uchaguzi wa chadema tu?

na kwanini utekaji unawatokea watu wa chadema tu?

na kwanini mtoa taarifa wa chadema anatoa taarifa za mwanzo wa utekaji kwa wakati muafaka na pia kwa wakati muafaka sana anatoa taarifa za mauaji ya alie tekwa? Yeye anakua amekaa wapi kushuhudia haya yote na kuandika vizuri namna ile?

na kwanini matukio ya utekaji yanaongezeka zaidi wakati chadema inapoelekea uchaguzi wa ngazi za juu zaidi?:pulpTRAVOLTA:
Una ubobevu gani wewe chawa. Nitafsiri vyovyote uwezavyo. Sibadiliki nimimi siku zote. Unapoleta ujinga na utani kwenye maisha ya watu, sikuachi nitakunanga akili ikukae sawa. Unaleta uchawa kwenye maisha ya watu. Wewe ndiyo wa kukaa kimya. Nasikitika hata kama kuna mwanamke kakukubali, maana ni bichwa tupu.
 
ni muhimu sana kujiuliza bila mihemko na wala ghadhabu yoyote kwasabab hiyo ni useless...

kwanini matukio haya yameanza wakati wa uchaguzi wa chadema tu?

na kwanini utekaji unawatokea watu wa chadema tu?

na kwanini mtoa taarifa wa chadema anatoa taarifa za mwanzo wa utekaji kwa wakati muafaka na pia kwa wakati muafaka sana anatoa taarifa za mauaji ya alie tekwa? Yeye anakua amekaa wapi kushuhudia haya yote na kuandika vizuri namna ile?

na kwanini matukio ya utekaji yanaongezeka zaidi wakati chadema inapoelekea uchaguzi wa ngazi za juu zaidi?:pulpTRAVOLTA:
Unasikia burdan hapo ulipo ukiona wana cdm wakiuwawa
Hongera umeshinda gentleman

Ova
 
hello,

friends, ladies and gentlemen natoka kidogo, nadrive mwenyewe,

plz msijiskie wapweke i will be right back soon,

but tupo pamoja:pedroP:
 
subri baba yako, mama na aliye wako atekwe.
Hili tilatilaa ni takataka ya ccm
 
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.

Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.

Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.

Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?

Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania.

Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Wewe ni mwendawazimu. Wahi hospitali. Kwa sasa inaonekana huna akili kabisa. Labda damu za watu zi.ekuondolea gata akili ndogo uliyokuwa nayo.

Mwenye akili, asingeweza kuandika huu upumbavu uliouweka hapa, kwani angejiuliza:

Gari lilikuwa na namba za polisi.

2) Ndani ya gari walitoka watu wakiwa na SMG, wakajitambulisha ni polisi.

3) Ndani ya basi kulikuwa na traffic police aliyekuwa akifanya mawasiliano na hao wanaoaminika kuwa ni polisi wauaji.
Itawezekana vipi taasisi isiyo ya kiserikali na isiyo na mamlaka ifanye hayo yote tena mbele ya askari aliyekuwa ndani ya basi bila kuzuiwa, kuhojiwa au huyo askari kuomba msaada kwa mamlaka nyingine kama waliotenda hivyo hawakuwa na nguvu za Serikali?

I dare to say, fool you among the killers. Let the curse of our Almighty God be upon you and your descendants.
 
hello,

friends, ladies and gentlemen natoka kidogo, nadrive mwenyewe,

plz msijiskie wapweke i will be right back soon,

but tupo pamoja:pedroP:
Isije ikawa unaenda kuteka wengine tena!! Ulaaniwe wewe muuaji, uovu wako na ukapate malipo halali sawasawa na uovu wako.
 
Hii inatokana na funzo nililopata katika usemi, 'anayelia saaaana msibani ndiye mchawi wenyewe huyo aliyemroga marehemu'.

Nafuatilia 'nitoke vipi' hii ya chadema; kwakweli siielewi elewi......Kuna jambo wanalijua.

Umejiunga August tarehe 19 2024 kuja kuleta ujinga. Yani lawama unawapa CHADEMA ? Stupid idiot
 
ni muhimu sana kujiuliza bila mihemko na wala ghadhabu yoyote kwasabab hiyo ni useless...

kwanini matukio haya yameanza wakati wa uchaguzi wa chadema tu?

na kwanini utekaji unawatokea watu wa chadema tu?

na kwanini mtoa taarifa wa chadema anatoa taarifa za mwanzo wa utekaji kwa wakati muafaka na pia kwa wakati muafaka sana anatoa taarifa za mauaji ya alie tekwa? Yeye anakua amekaa wapi kushuhudia haya yote na kuandika vizuri namna ile?

na kwanini matukio ya utekaji yanaongezeka zaidi wakati chadema inapoelekea uchaguzi wa ngazi za juu zaidi?:pulpTRAVOLTA:
Tunajua mnachokipanga ndo maana mnalindwa kuzungumza kinyesi hadharani
 
mama yangu mtoa thread leo watu wako kwenye majonzi utatukanwa hadi ukome
 
Huyo mtu wa Chadema ndio mwenye uwezo wa kuwatuma Polisi wateke?Maana walioisimamisha basi walikuwa Polisi waliokuwa kwenye landcruiser na mmoja wa abiria alikuwa ni Askari.Kama unajua makusudi kuwa huu ni udhalimu na unatetea kwa sababu ya tumbo Huku haki ya watu wanaotegemewa Katika familia na wakiacha yatima na wajane wakiwa na machozi na sauti za jitimai basi Tumbo na Kiuno ulichotoka vimelaaniwa.Sisi wanaccm waenzio bado tunaamini Katika hutu.Shwaini.
 
Tunajua mnachokipanga ndo maana mnalindwa kuzungumza kinyesi hadharani
huenda wasio taka changamoto kwenye sanduku la kura uchaguzi wa chadema wanajuana zaidi 🐒

mihemko na ghadhabu hazina maana,calm down
 
Back
Top Bottom