Pre GE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapana. Huyo yupo 'serious' kabisa.
actually,
jambo hili ni very very serious,

chadema ni vyema ikachunguzwa, viongoz waandamizi wakachunguzwa, pamoja na wanachama wake mashuhuri wenye maslahi na Uchaguzi unaoendelea ndani ya chama hicho,,

na kwa hatua za awali nashauri mali kua frozen sambamba na pass zao za kusafiriwa kuzuiliwa ili kutokuathiri uchunguzi πŸ’
 
Acha porojo zako
 
Umeandika kama mtu aliyelaanika!!
sema tu umenilaani wewe kimoyomoyo gentleman πŸ’

huna sababu ya kuchefuliwa na mapendekezo yangu muhimu sana kuzima hizi songombingo za utekaji πŸ’
 
Wewe ni mshiriki mkubwa katika mauaji ya waTanzania.
 
We mbwa siyo lazima uongee nyamaza kimya.

DC wa longido alisema huwa wanafanya Nini polini?

Nape nauye alisema Nini?

😀😀😀😀😑😑😑😑
 
Wewe ni mshiriki mkubwa katika mauaji ya waTanzania.
tatizo ni moja tu mihemko na ghadhabu Lakini huna la maana dhidi ya hoja mahususi mezani πŸ’
 
tatizo ni moja tu mihemko na ghadhabu Lakini huna la maana dhidi ya hoja mahususi mezani πŸ’
tatizo ni moja tu mihemko na ghadhabu Lakini huna la maana dhidi ya hoja mahususi mezani πŸ’
Hapa tulipo fikia chukulia kuwa nina maana kubwa sana katika uhusika wako na maswala haya ya utekaji na mauaji.
Utakuwa akili zako zimeharibika kutokana na vitendo hivyo kama huwezi kulitambua hilo.
 
Chama cha upinzani kinatoa wapi nguvu ya kulituma jeshi la polisi kuteka watu, akili zako zipo ww
nadhani mapendekezo yangu ni pamoja na yule mchukua ushahidi na mtoa taarifa hizi mitandaoni, kuanzia hatua za utekaji hadi matokeo ya utekaji ,

anakua amekaa engo gani hasa kuhakikisha mitandaoni ya kijamii inapata picha kamili A to Z ya unyama huo?πŸ’

ana moyo mgumu au mwepesi huyo mjamaa?
 
Walichobakiza hao wanajulipa buku saba ni kukuomba ndogo tu.
 
Hapa tulipo fikia chukulia kuwa nina maana kubwa sana katika uhusika wako na maswala haya ya utekaji na mauaji.
Utakuwa akili zako zimeharibika kutokana na vitendo hivyo kama huwezi kulitambua hilo.
pole sana gentleman,

but hoja ya msingi mezani iliyokukurupua ulikokua,
ni ya msingi sana, na ni muhimu sana ikafanyiwa kazi kujiridhisha na kuthibitisha Ukweli juu ya masuala haya πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…