Pre GE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hapana. Huyo yupo 'serious' kabisa.
actually,
jambo hili ni very very serious,

chadema ni vyema ikachunguzwa, viongoz waandamizi wakachunguzwa, pamoja na wanachama wake mashuhuri wenye maslahi na Uchaguzi unaoendelea ndani ya chama hicho,,

na kwa hatua za awali nashauri mali kua frozen sambamba na pass zao za kusafiriwa kuzuiliwa ili kutokuathiri uchunguzi šŸ’
 
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.

Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.

Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.

Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?

Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania.

Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Acha porojo zako
 
Umeandika kama mtu aliyelaanika!!
sema tu umenilaani wewe kimoyomoyo gentleman šŸ’

huna sababu ya kuchefuliwa na mapendekezo yangu muhimu sana kuzima hizi songombingo za utekaji šŸ’
 
actually,
jambo hili ni very very serious,

chadema ni vyema ikachunguzwa, viongoz waandamizi wakachunguzwa, pamoja na wanachama wake mashuhuri wenye maslahi na Uchaguzi unaoendelea ndani ya chama hicho,,

na kwa hatua za awali nashauri mali kua frozen sambamba na pass zao za kusafiriwa kuzuiliwa ili kutokuathiri uchunguzi šŸ’
Wewe ni mshiriki mkubwa katika mauaji ya waTanzania.
 
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.

Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.

Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.

Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?

Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania.

Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
We mbwa siyo lazima uongee nyamaza kimya.

DC wa longido alisema huwa wanafanya Nini polini?

Nape nauye alisema Nini?

😤😤😤😤😔😔😔😔
 
tatizo ni moja tu mihemko na ghadhabu Lakini huna la maana dhidi ya hoja mahususi mezani šŸ’

Hapa tulipo fikia chukulia kuwa nina maana kubwa sana katika uhusika wako na maswala haya ya utekaji na mauaji.
Utakuwa akili zako zimeharibika kutokana na vitendo hivyo kama huwezi kulitambua hilo.
 
Chama cha upinzani kinatoa wapi nguvu ya kulituma jeshi la polisi kuteka watu, akili zako zipo ww
nadhani mapendekezo yangu ni pamoja na yule mchukua ushahidi na mtoa taarifa hizi mitandaoni, kuanzia hatua za utekaji hadi matokeo ya utekaji ,

anakua amekaa engo gani hasa kuhakikisha mitandaoni ya kijamii inapata picha kamili A to Z ya unyama huo?šŸ’

ana moyo mgumu au mwepesi huyo mjamaa?
 
Walichobakiza hao wanajulipa buku saba ni kukuomba ndogo tu.
 
Hapa tulipo fikia chukulia kuwa nina maana kubwa sana katika uhusika wako na maswala haya ya utekaji na mauaji.
Utakuwa akili zako zimeharibika kutokana na vitendo hivyo kama huwezi kulitambua hilo.
pole sana gentleman,

but hoja ya msingi mezani iliyokukurupua ulikokua,
ni ya msingi sana, na ni muhimu sana ikafanyiwa kazi kujiridhisha na kuthibitisha Ukweli juu ya masuala haya šŸ’
 
Back
Top Bottom