Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Pole unaihitaji sana wewe, pamoja na kwamba haitakusaidia chochote. Unapojiingiza katika maswala ya kuua binaadam wenzako hakuna pole inayoweza kupoza hilo.pole sana gentleman,
but hoja ya msingi mezani iliyokukurupua ulikokua,
ni ya msingi sana, na ni muhimu sana ikafanyiwa kazi kujiridhisha na kuthibitisha Ukweli juu ya masuala haya 🐒
sina haja ya kushiriki ushirikina wa aina yoyote kwasababu ni useless na nonsense 🐒Pole unaihitaji sana wewe, pamoja na kwamba haitakusaidia chochote. Unapojiingiza katika maswala ya kuua binaadam wenzako hakuna pole inayoweza kupoza hilo.
Wewe ni muuaji. Ushirikina wa nini tena?sina haja ya kushiriki ushirikina wa aina yoyote kwasababu ni useless na nonsense 🐒
ninao wajibu mkubwa kuwafungua wote wenye fikra dumavu muweze kuelewa dubwasha la haya yote ni UCHAGUZI TU 🐒
Dozi imekuingiaHivi unajisikiaje kujitoa ufahamu kiasi hiki?
Hoja nyingine bwana?, unaambiwa Mzee alitekwa kwenye Basi na Askari, wewe unasema Chadema wanatekana, kwenye basi uliwaona Chadema? Kuwa serious kidogo basi kwenye maisha ya watuSi bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.
Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.
Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?
Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.
Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?
Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza.
Mungu Ibariki Tanzania.
Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Inaonekana humjui huyo mtu unaye mweleza hayo.Hoja nyingine bwana?, unaambiwa Mzee alitekwa kwenye Basi na Askari, wewe unasema Chadema wanatekana, kwenye basi uliwaona Chadema? Kuwa serious kidogo basi kwenye maisha ya watu
umekurupuka kinyumbu zaid we uliwaona hao askari watekaji 🤣Hoja nyingine bwana?, unaambiwa Mzee alitekwa kwenye Basi na Askari, wewe unasema Chadema wanatekana, kwenye basi uliwaona Chadema? Kuwa serious kidogo basi kwenye maisha ya watu
Wewe umekwisha jitambulisha, sasa tunawasaka wenzako.ungekosa vitu vingi sana dah 🤣
Kuna watu watakutukana ila ujue hili taifa lina watu wanaakilì mgando sana,ndio maana mamtu yanatapeliwa kwa tuma kwa namba hii.ASANTE KWA KUWAZA NJE YA BOXSi bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.
Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.
Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?
Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana
Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.
Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?
Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza.
Mungu Ibariki Tanzania.
Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Mleta mada amenikumbusha mbali sana Kitabu cha "Kikosi cha Kisasi" kwani viongozi wengi wa Wapigania Uhuru wanauawa Nchini Zaire? Hapo ndipo Wapelelezi mahiri wakiongozwa na Willy Gamba walipokwenda Kinshasa ili kwenda kutafuta kiini cha vifo hivyoKuna watu watakutukana ila ujue hili taifa lina watu wanaakilì mgando sana,ndio maana mamtu yanatapeliwa kwa tuma kwa namba hii.ASANTE KWA KUWAZA NJE YA BOX