Pre GE2025 Kutokana na tofauti za uongozi ndani ya CHADEMA, inawezekana kuna mtu kati yao anahusika na matukio ya utekaji?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
I just questioned your way of reasoning, I'm not at all worried because I don't belong to any political party although I espouse anything positive in any political party.
then don't panic because of contrary views and opinions on the issue....

that is freedom of expressions and right of everybody 🐒
 
Differentiate between faulty/flawed reasoning and different views and opinions (value judgement) on an issue. The former can be corrected through critical/intelligent/smart thinking and the latter are constitutional entitlements which express freedom of opinion and expression provided for in Article 18 of the Constitution of the United Republic of Tanzania, 1977 (R E. 2005).
 
wherever it may,
respect for others views and opinions must be observed in accordance to the constitution, regardless of the value you estimate and judgments you do on it :pulpTRAVOLTA:
 
Do you respect the views and opinions of others?
 
I don't have completely any problem or mayhem with anybody views and opinions concerning anything nationally or internationally 🐒
 
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.

Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.

Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.

Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?

Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania.

Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana

Unadhalilisha Polisi basi kama unajua haya yanafanywa na chadema! Kama uvccm unajua haya yote basi hamna jeshi kabisa kuna uvccm wengine ndani ya uniform.
 
Do you respect what critics express on the political and socioeconomic situation in the country?
 
tuliza mchecheto gentleman unchunguzi unaendelea🐒
 
Do you respect what critics express on the political and socioeconomic situation in the country?
both constructive and deconstructive criticism on anything must be respected as I said before that, it is the right and freedom of everybody to express their views and opinions on whether economic, social, political, national or international issues 🐒
 
May peace be with you.
 
Kwa namna ambavyo watawala wanapambana kuona chedama inaanguka, yani ingekuwa ndo chadema inahusika na utekaji nataka kukuambia hata mjumbe wa shina ccm nae angetoa tamko.
 
Si bure, kuna kitu kinachoendelea ndani ya chama hiki kikongwe cha siasa kilichojizolea umaarufu mkubwa wa kisiasa miaka ya nyuma.

Vyombo vya kiuchunguzi wana kila sababu ya kukifanyia uchunguzi wa kina wa kiusalama chama hiki cha siasa, viongozi wake waandamizi na wananchama wake mashuhuri dhidi ya kuhusika kwao kwenye mambo haya, na vyanzo vya taarifa za kihalifu walizonazo hususani kwenye hili la watu kupotea na baadae kukutwa wakiwa wafu. kwa hakika uchunguzi huo unaweza kusaidia kwa kiasi kikubwa kutuliza hali ya taharuki wanazoibua chadema kwa jamii na tashwishwi za kiusalama kwa wananchi.

Je, ni kweli wao kama chadema hawahusiki na utekaji huo? ni vizuri kijiridhisha isije ikatokea Shakahola ya kisiasa ndani ya chadema Tanazania? are these not stage managed political schemes of silencing challengers in party elections?

Pia soma: Ally Mohamed Kibao auawa na mwili kutelekezwa Ununio ukiwa umeharibika sana

Ndani ya chama hicho cha siasa hakuko salama na hakuana utulivu wa kisiasa, joto la uchaguzi ni kali lipo juu mno, taharuki na hali ya kutoaminiani imetanda pakubwa.

Je, hii haiwezi kuwa sababu ya kunyamazishana katika jitihada za kugombania nafasi za uongozi kwa ambao wamekosa uhalali, hoja na hawataki changamoto kwenye sanduku la kura?

Kwa maoni yangu na bilashaka yoyote uchunguzi wa kiusalama ukifanyika ndani ya chama hiki, taharuki hizi zote wanazoibua wenyewe zitakoma, kwasababu kuna wasiwasi na viashiria vya moja kwa moja kwa chama hiki kuhusika, lakini ili kujiridhisha ni muhimu sana kuchunguza. :pulpTRAVOLTA:

Mungu Ibariki Tanzania.

Matukio mengine ya utekaji yakihusisha watu wasiyojulikama soma Kiongozi wa Madaktari (Dr. Ulimboka) atekwa, aokotwa akiwa katika hali mbaya sana
Hatuhitajii kutafuta mchawii
Mchawi ni Msigwaaa
 
Polisi ni wepesi sana kujua au kushughulikia tukio ambalo sio wao walifanya yaani ingekuwa hilo tukio la utekaji sio wao mpaka sasa wahusika washakamatwa.
 
Back
Top Bottom