SAYVILLE
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 7,895
- 12,975
Siyo hivyo tu, Simba huwa ni nadra sana kuanzisha mashambulizi kupitia kwake maana yeye akipata mipira ni kurudisha nyuma au kuwapa mabeki wa kati, akitoa pasi za mbele ni za kubambikizia wenzie na mipira inapotea. Hana confidence ya kupress mipira mbele kama anavyofanyaga Kapombe.Me nafikiri ile hali ya zimbwe ku-push mashambulizi ndo huwa inasababisha matatizo sababu mtu anayetakiwa ku cover nafasi yake huwa hafanyi kama inavyotakiwa thats why.
Anatulia akipata mipira katikati ya uwanja au akiwa maeneo ya timu pinzani. Kuna wakati nilishauri wamjaribu kama winga anaweza fanya vizuri sana.