Kutokana na Umuhimu wa Mechi ya leo dhidi ya Horoya FC tafadhali Wachezaji hawa Waambiwe ukweli ili tusije Kulaumiana baadae

Kutokana na Umuhimu wa Mechi ya leo dhidi ya Horoya FC tafadhali Wachezaji hawa Waambiwe ukweli ili tusije Kulaumiana baadae

Me nafikiri ile hali ya zimbwe ku-push mashambulizi ndo huwa inasababisha matatizo sababu mtu anayetakiwa ku cover nafasi yake huwa hafanyi kama inavyotakiwa thats why.
Siyo hivyo tu, Simba huwa ni nadra sana kuanzisha mashambulizi kupitia kwake maana yeye akipata mipira ni kurudisha nyuma au kuwapa mabeki wa kati, akitoa pasi za mbele ni za kubambikizia wenzie na mipira inapotea. Hana confidence ya kupress mipira mbele kama anavyofanyaga Kapombe.

Anatulia akipata mipira katikati ya uwanja au akiwa maeneo ya timu pinzani. Kuna wakati nilishauri wamjaribu kama winga anaweza fanya vizuri sana.
 
Kipindi cha kwanza tucheze mpira wa taratibu kuwasoma Horoya. Israel Mwenda aanze badala ya Zimbwe. Kibu au Kyombo aanze badala ya Phiri. Second half tuongeze speed na Phiri aingie kuleta nguvu mpya na kupata magoli ya kushtukiza. Bocco aingie tukiwa tumejihakikishia ushindi au asicheze.

Inakuwaje tunakuwa na captain hana uhakika wa namba. Kwa nini wasimpe ucaptain Kapombe au hata Onyango?
Simba akipigwa mbili ashangilie
 
Naamini Simba wamejifunza mengi katika miaka hii 4 na. Mechi ni ngumu sana ila nadhani Simba wako kwenye level ya kuweza kushindana kutafuta ushindi hata ugenini.

Tanzania tumekuwa na historia ya kucheza kinyonge sana tukiwa nje, kama vile tunadhani hatustahili kushinda.
Simba akipigwa mbili ashangilie
 
Kwanini kapombe au onyango na sio zimbwe?
20230224_132931.jpg
 
Back
Top Bottom