Kutokea kwa mimba siku zisizotarajiwa

Dah yani inaumiza sana akili mkuu unaeza ikataa mimba kabisa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee una nyumba???? Una gari????? Lea mtoto ndo raha ya ngono zembe hiyo!!!!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Sperm za mwanaume zina uwezo wa kukataa kwenye mwili wa mwanamke for 3days minimum and 7days maximum .kwa hiyo umefanya mpenzi na mpenzi ndani ya utaratibu wa uwezekano wa kupata mimba na co nje ya utaratibu kama jinsi ulivyoeleza.
Kama ni hivyo siku salama ni chache sana
 
Duu!!!!!!!! Hizi nyege hizi mbaya sana
 
Na akaandae vitenge 10 na khanga 10, madela 5, chupi nyingi, pampers za mzazi 20, za mtoto, beseni, nguo za mtoto, baby show 3[emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo maana watu wanakataa mimba na kukimbia majukumu
 
Kama ni hivyo basi siku ya 8,9 na 10 sio salama, mkuu tupe elimu nasubiri Sana nipate kujua
 
Hapo kwenye red kwa wenye mzunguko wa siku 28 ilipaswa iwe ni 14-3=11. Siku ya 14 ndio siku ya ovulation na siyo siku ya 11 kwa wenye mzunguko wa siku 28.
 
Hata siku ya 8 mimi nakukatalia mkuu, hizi kalenda nimeshazitumia saana mkuu. Kuanzia siku ya 12 usijaribu kabisa kumwaga ndani. Hata siku ya 11 inategemea na spermz za mwanaume.
Wanawake wanatuchanganya sana, ni kweli kabisa ukiwa unaenda kavu kavu tegemea kukutana na maajabu mengi, hivi inawezekana siku ya kwanza ya hedhi mwanamke akashika ujauzito?
 
Sperm za mwanaume zina uwezo wa kukataa kwenye mwili wa mwanamke for 3days minimum and 7days maximum .kwa hiyo umefanya mpenzi na mpenzi ndani ya utaratibu wa uwezekano wa kupata mimba na co nje ya utaratibu kama jinsi ulivyoeleza.
Mnhuu hapo kwenye 7days umetia chumvi tu,ni Massa 24-48
 
Issue muhimu hamna aliyetaja na muhusika kazungumzia - '...alikuwa anatumia clomitab'. Hii ni jamii ya dawa inayoitwa clomid na its a fertility medication to make someone ovulate (au used pale cause of infertility is unknown). Inawezekana hii dawa ilipelekea ovulation kufanyika mapema...wakati mwingine inapelekea hata mayai mawili kupevuka. Hakikisha hauna twins mweshimiwa....
 
Kuna mwanamke kapata ujauzito siku ya saba hivi inawezekana hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…