Duke Tachez
JF-Expert Member
- Mar 28, 2018
- 5,461
- 4,138
Anakufikisha Kileleni lakini???Mario
Aisee umemkosea heshima sana
Ni responsible father and husband.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakufikisha Kileleni lakini???Mario
Aisee umemkosea heshima sana
Ni responsible father and husband.
Shemeji yetu amekuelewa lakini asije akahisi umecheatSiku 28.na huwa hazibadiliki badiliki.nina 6 years naitumia kalenda ila now imenitenda si kidogo!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mzee una nyumba???? Una gari????? Lea mtoto ndo raha ya ngono zembe hiyo!!!!!! [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dah yani inaumiza sana akili mkuu unaeza ikataa mimba kabisa
Kama ni hivyo siku salama ni chache sanaSperm za mwanaume zina uwezo wa kukataa kwenye mwili wa mwanamke for 3days minimum and 7days maximum .kwa hiyo umefanya mpenzi na mpenzi ndani ya utaratibu wa uwezekano wa kupata mimba na co nje ya utaratibu kama jinsi ulivyoeleza.
Duu!!!!!!!! Hizi nyege hizi mbaya sanaKama ana mzunguko wa siku 28 na kupanda juu, hiyo mimba sio yako hakuna mimba inayojitunga siku ya 7, 8, 9, 10 hata hiyo ya 11 sio rahisi.
Mimi nimeshalala na wanawake wenye mzungo wa siku 28 na nmesex nao kwa siku ya 11 na mimba hawakunasa.
Nilianza kusoma haya mambo ya mzunguko baada ya kutoa mimba 2, mpaka sasa sidanganyiki na hizi calendar.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ndo maana watu wanakataa mimba na kukimbia majukumuNa akaandae vitenge 10 na khanga 10, madela 5, chupi nyingi, pampers za mzazi 20, za mtoto, beseni, nguo za mtoto, baby show 3[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Nyege mbaya sanaNimekuwa mpole ghafla kila siku napigiwa simu et umebadilika
Period isiyotegemewa huwa ina sabab zake mfano stress au kuumwaKama wanaweza kupata period siku wasiyoitegemea basi wanaweza kupata mimba siku wasiyoitegemea
Kama ni hivyo basi siku ya 8,9 na 10 sio salama, mkuu tupe elimu nasubiri Sana nipate kujuaJamni hii njia ya calendar watu wengi bado hamuifahamu vizuri ntaiandikia thread yake.. lakini kama mkeo ana mzunguko mfupi( siku 28) bac inamaana AVERAGE PEAK OVULATION MARA NYINGI HUWA SIKU YA 14.. PEAK ovulation ni siku ile yai linapokua kwenye mirija ya uzazi kwa ajili ya kuwa fertilized. Na lina exist within 12-24 hours kabla halijadissolve. Nikisema average ina maana it can change to day 12- 14 kutokana na sababu nyingi ikiwemo hormones, mazingira n.k.. pia ikumbukwe sperms zinaweza kukaa max 5 days and rarey to 7 days and min ni 3 days. Kwaiyo ndo maana unaweza ukafanya siku ya 8 na ukapata mtoto kama kawaida. Na kama yai likipevuka mapema sana hata siku ya 12 anaweza kushika mimba siku ya 7 mkifanya baada ya kuona siku zake. SO ITS POSSIBLE THOUGH ITS CONTRADICTING KAMA SIO MUAMINIFU ALIKOKWENDA UKO SAFARINI.
Nina mengi mno ya kuandika lakni nimejaribu kukujibu kwa kifupi..
Hapo kwenye red kwa wenye mzunguko wa siku 28 ilipaswa iwe ni 14-3=11. Siku ya 14 ndio siku ya ovulation na siyo siku ya 11 kwa wenye mzunguko wa siku 28.Inawezekana sana maana mbegu za kiume zinaweza kuwa hai kwa muda wa masaa 72 sawa na aiku tatu hvyo basi tunasahuri 11-3=8 Manake ni kwamba ukisex naye siku ya nane toka ameanza hedhi mimba inaweza tokea lakini kwa siku ya saba duh utata labda nambie kitu kimoja alianza hedhi saa ngapi na ulisex naye saa ngapi.
Au nichek 0620436634
Dah yani inaumiza sana akili mkuu unaeza ikataa mimba kabisa
Wewe ilikuwa siku ya ngapiHapana usikatae kalenda sio ya kuamini kabisa mimi mwenyewe ilinitenda vibaya mzunguko 28 days
Wanawake wanatuchanganya sana, ni kweli kabisa ukiwa unaenda kavu kavu tegemea kukutana na maajabu mengi, hivi inawezekana siku ya kwanza ya hedhi mwanamke akashika ujauzito?Hata siku ya 8 mimi nakukatalia mkuu, hizi kalenda nimeshazitumia saana mkuu. Kuanzia siku ya 12 usijaribu kabisa kumwaga ndani. Hata siku ya 11 inategemea na spermz za mwanaume.
Siku ya 5 aiseeWewe ilikuwa siku ya ngapi
Mnhuu hapo kwenye 7days umetia chumvi tu,ni Massa 24-48Sperm za mwanaume zina uwezo wa kukataa kwenye mwili wa mwanamke for 3days minimum and 7days maximum .kwa hiyo umefanya mpenzi na mpenzi ndani ya utaratibu wa uwezekano wa kupata mimba na co nje ya utaratibu kama jinsi ulivyoeleza.
Hakuna wewe acha fixDanganyanyeni sana tu,nawaambia siku ya 7 tu baada ya hedhi mimba inaingia sembuse siku ya 8!
Kuna mwanamke kapata ujauzito siku ya saba hivi inawezekana hiiIssue muhimu hamna aliyetaja na muhusika kazungumzia - '...alikuwa anatumia clomitab'. Hii ni jamii ya dawa inayoitwa clomid na its a fertility medication to make someone ovulate (au used pale cause of infertility is unknown). Inawezekana hii dawa ilipelekea ovulation kufanyika mapema...wakati mwingine inapelekea hata mayai mawili kupevuka. Hakikisha hauna twins mweshimiwa....