Kutokuaminiana katika mahusiano

Nampenda na staki kumpoteza ila kero zimezidi sana hata ukiwa kazini ukishindwa kupokea simu ni shida tupu anakuwazia mengine kabsa ambayo hata huyafikirii.
Inaonekan asubuhi humsalimii ndomana anawas was salamu sio mpk simu ata ile hello dr i miss u umeamkaje...inamfanya siku yake inaenda vzr kuliko kula buyu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hahahaha
mambo ya baby umekula, baby umelala! hayo ndio hupendi

ila ki ukweli mapenzi ya kweli ni pamoja na kupena nafas, ukiona mna kabana kila tyme jua hakuna kuaminiania
na huyu bhana inaonekaba mpenzi wake hamuamini, mchiz ni korofi

Nikiwa nimelala simu yangu ina fingerprint huwa anachukua kidole changu na kutoa lock. Anakuta chating za ajabu ajabu ndo hupaniki kabsa
 

Kweli hii
 
Inaonekan asubuhi humsalimii ndomana anawas was salamu sio mpk simu ata ile hello dr i miss u umeamkaje...inamfanya siku yake inaenda vzr kuliko kula buyu

Post sent using JamiiForums mobile app

Namsalimia sana
 
jitahid sku aone kama umechange
pretend ikiwezekana
kaa naye chiniwambie utoto una acha unataka utulie naye
lakon na yeye arekebshe fujo hizo za simu
mkiongea mtapenya tuu

Harafu hili swala la kukagua simu ya mpenzi wako linakujaje
 
Wewe unamatatizo ni ngumu sana kukushutumu bila tat8zo jiangalie kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…