Kutokuaminiana katika mahusiano

Kutokuaminiana katika mahusiano

Nampenda na staki kumpoteza ila kero zimezidi sana hata ukiwa kazini ukishindwa kupokea simu ni shida tupu anakuwazia mengine kabsa ambayo hata huyafikirii.
Inaonekan asubuhi humsalimii ndomana anawas was salamu sio mpk simu ata ile hello dr i miss u umeamkaje...inamfanya siku yake inaenda vzr kuliko kula buyu

Post sent using JamiiForums mobile app
 
hahahaha
mambo ya baby umekula, baby umelala! hayo ndio hupendi

ila ki ukweli mapenzi ya kweli ni pamoja na kupena nafas, ukiona mna kabana kila tyme jua hakuna kuaminiania
na huyu bhana inaonekaba mpenzi wake hamuamini, mchiz ni korofi

Nikiwa nimelala simu yangu ina fingerprint huwa anachukua kidole changu na kutoa lock. Anakuta chating za ajabu ajabu ndo hupaniki kabsa
 
Kama kuna kitu kigumu kwangu ni kumuamini mwanamke sijui naonaje nahisi kama mwanamke ni dhaifu sana...nina background flani hivi ya huko nyuma ambayo kila mwanamke nilikuwa namtaka nilikuwa nampata kiurahisi sana...sasa imefikia point nahisi wanawake wote ni rahisi kuwapata na ni mbinu za mtongozaji tu...na uongo utakao kuja nao...inani affect sana kwakweli..

Post sent using JamiiForums mobile app

Kweli hii
 
Inaonekan asubuhi humsalimii ndomana anawas was salamu sio mpk simu ata ile hello dr i miss u umeamkaje...inamfanya siku yake inaenda vzr kuliko kula buyu

Post sent using JamiiForums mobile app

Namsalimia sana
 
jitahid sku aone kama umechange
pretend ikiwezekana
kaa naye chiniwambie utoto una acha unataka utulie naye
lakon na yeye arekebshe fujo hizo za simu
mkiongea mtapenya tuu

Harafu hili swala la kukagua simu ya mpenzi wako linakujaje
 
Hi wana JF natumaini mko wazima wa afya kabsa.
Mimi ni member wa siku nyingi sana huku JF na nimekuwa wa kujifunza mambo mengi tu kupitia humu ila leo nimeamua kuja na hili swala la kutokuaminiana katika mahusiano.

Mpenzi wangu kusema ukweli haniamini kabsa nisipopokea simu analeta maneno kibao, kiasi kwamba mpaka ananikosesha amani, kwa sasa nimeamua tusiwasiliane kwa wiki 2 na leo ni siku ya tatu hatuwasiliani.

Nahitaji mawazo yenu wana jf kama maamuzi yangu yako sahihi au nitakuwa nimekosea kufanya hayo maamuzi??

Tukumbuke huu msemo *KAMA AMESHIDWA KUKUAMINI VILE VILE HAWEZI KUKUPENDA*
Wewe unamatatizo ni ngumu sana kukushutumu bila tat8zo jiangalie kijana
 
Back
Top Bottom