Kutokujua Sheria za Soka Chanzo cha Malalamiko ya Goli la Yanga!

Mzee mwanakijiji nashukuru sana kwa maelezo mazuri kwasababu hatubishan bali tunaelezana,hiv maradona halifunga gori gani vs england then watu waengland walibehave kama sisi,hatuna uvumilivu kisoka embu angalia hata tabia za wachezaj wetu zilivyokuwa uwanjani yani sio professional players kabisa
 
Goli la Asernal, huwezi kulinganisha na la Tambwe mkuu, Ile ilikuwa Ball to hand, lakini sio Hand to ball kama Ile ya Tambwe, Tambwe aliusukumba mpira Kwa mkono wake wa kulia ili apate support ya kugeuka na kupiga vizuri,hiyo ndio tunaiita hand to ball.
 

Yote ya mkono kaka acha mahaba na yote yanalindwa na sheria
 
Yote ya mkono kaka acha mahaba na yote yanalindwa na sheria
Mimi sina mahaba na Simba mkuu ila ninachoongea ni facts, Tafuta video ya lile lile goli la Asernal uangalie vizuri Kwa ukaribu ndo utaelewa ninachomaanisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…